Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maneno ya Lulu kwa Mama Yake ni Fundisho Tosha

Mwigizaji Lulu ameandika haya jana kwenye ukurasa wake mtandaoni, ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya mama yake mzazi.

lulu241
The pic Says all…!
Umenifundisha kujua thamani ya Mama Duniani,Umenifundisha urafiki wa kweli uko vipi,undugu WA kweli uko vipi.
Pale ambapo wote walikimbia,walikuwa kinyume Na Mimi Wewe Ndo ulisimama .
Naweza kuandika maneno Milioni lkn kiukweli hakuna namna ninayoweza kukuelezea na watu wakapata picha halisi ya ulivyo
Una mapungufu yako..Ndio sikatai .
Una mabaya yako…Ndio maana...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe wa Lulu kwa Mama yake

“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)

Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!

Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.

Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake

“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)

Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!

Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.

Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Atoa fundisho Kwa Shabiki…

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa juzikati aliamua kumjibu shabiki mmoja mtandaoni kutokana na kuwepo kwa watu wengi wanaomsema vibaya mitandaoni.

Akizungumza na mwanahabari wa GPL mara baada ya kumjibu shabiki Gladmarry Edwine aliyemkejeli kupitia mtandao wa Instagram kuwa ikifika siku ya Kanumba Day (Aprili 7, mwaka huu), Lulu atajiliza ndipo staa huyo alipomtolea uvivu iwe fundisho.

“Yule alinikuta siku hiyo siko vizuri halafu niko Instagram...

 

9 years ago

Bongo5

Lulu alia kwa uchungu akisimulia jinsi mama yake alivyompigania akiwa jela

Muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael aka Lulu amelia kwa uchungu baada ya kukumbuka jinsi mama yake alivyompigania wakati yupo jela alikopelekwa kwa kusababisha kifo cha marehemu Steven Kanumba. Akizungumza Ijumaa hii kwenye kipindi cha Uhondo cha EFM, Lulu alisema mama yake alifanya kila njia ili kuhakikisha mtoto wake anakuwa salama. “Mama yangu ana mapenzi pili […]

 

10 years ago

Vijimambo

LULU ASEMA NYUMBA ALIYOMZAWADIA MAMA YAKE SI YA KUHONGWA, AMEJENGA KWA MIAKA MINNE

Mwanzoni mwa mwaka huu (2015) mrembo na muigizaji wa filamu, Elizabeth “Lulu” Michael aliwa-surprise watu wengi pale alipomzawadia mama yake nyumba aliyojenga Kimara, jijini Dar es- Salaam.
Lulu alimpa zawadi hiyo mama yake kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa January, 2015. Je Lulu aliwezaje kufanya mambo makubwa kama hayo katika umri mdogo na kwa kipato cha kuigiza peke yake? Hayo ni maswali ambayo wengi walijiuliza, kiasi cha kuwafanya wengine waamini kuwa labda amehongwa.Lulu amesema...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Amzawadia Nyumba Mama Yake Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika  kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.

Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi “H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria...

 

10 years ago

Bongo Movies

Maneno Haya ya Faiza ni Darasa Tosha wa Wanawake Wengine

Staa wa Bongo Movies Faiza Ally ambae ni mzazi mwenza wa Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amebandika hili andiko hili mtandaoni, hebu chukua muda wako kulisoma andiko hili, kuna punje utazipata.

Nimepata marafiki wengi wapya - na wengine ni baada ya kuona kipindi kinacho endelea Jana (juzi) na leo (jana) Claud's TV - nataka tu niwaambie kwamba wakati huo wa uzuni na uchungu mwingi ulisha pita sasa hivi niko sawa kabisa na nimekubali matokeo ya maisha yaliopo sasa- na zile tofauti haziko tena na...

 

10 years ago

GPL

LULU AMFAGILIA MAMA YAKE

STAA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' amemfagilia mama yake mzazi Lucresia Karugila kwa kupitia akaunti yake ya Instagram.  Lulu akiwa katika pozi na mama yake. Staa huyo ameachia picha yake wakati akiwa mdogo pamoja na mama yake kisha kuandika ujumbe wa kumfagilia mama huyo ambao ulisomeka hivi:  Ni miaka 19 sasa tangu tulipoanza rasmi mahusiano haya, ni mahusiano ambayo yamekuwa na… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani