Lulu: Wanaonipenda Kweli, Wanafiki na Wale Baby Baby NAWAJUA
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameandika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni, bila shaka na wewe ANAKUJUA.
Mnaonipa Moyo na Kunipenda kiukweli....NAWAJUA
Wakuongea Nao Ya Moyoni....NAWAJUA
Wale wa kuni baby baby on IG kumbe Hakuna lolote....NAWAJUA
Wale mnajifanya shoulders to cry on ili mpate kunijua kirahisi...NAWAJUA ila SIWEZI KUWAPA HIYO CHANCE AISEEE...I'm Soleeeeee
Wale tunaochekeana kinafki...NAWAJUA I hope MNANIJUA PIA yani TUNAJUANA
Wale Waukweli kbsa ....NAWAJUA
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSHILOLE SHISHI BABY ALIPOFANYA KWELI UBELGIJI
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
10 years ago
Vijimambo
Le Mutuz Anatafuta Mke 'Kwa Kweli Nahitaji WIFE Baby U Know Nahitaji Bonge la Mke, Niombeeni '

10 years ago
Vijimambo
Utajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli

10 years ago
TheCitizen07 Aug
What next for shishi baby?
11 years ago
GPL
BABY MADAHA
9 years ago
Bongo529 Dec
Music: Nasoro – Baby

Msanii mpya anaitwa Nasoro ambaye alikuwa Mshiriki wa BSS 2015 na huu ndio wimbo wake mpya unaitwa “Baby”. Producer Nahreel.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
Michuzi11 Feb
11 years ago
GPL
BABY MADAHA: NIMEUMBUKA!
11 years ago
GPL
BABY MADAHA AUMBUKA