BABY MADAHA AUMBUKA

Na Mayasa Mariwata STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ambaye aliwahi kutangaza kuacha fani ya maigizo na muziki amejikuta akiumbuka kwa mashabiki wake kutokana na kuendelea kukomaa katika gemu kwa kuachia kazi mpya na kuandaa matamasha mbali mbali. Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha akiwa kwenye pozi. Msanii huyo alitoa uamuzi huo kwa madai kuwa alichoshwa na skendo za kila kukicha ambazo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
BABY MADAHA
11 years ago
GPL
BABY MADAHA: NIMEUMBUKA!
11 years ago
Michuzi11 Feb
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Baby Madaha atamani mtoto
NA SHARIFA MMASI, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto. Akizungumza na MTANZANIA jana, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha. Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo...
11 years ago
GPL
BABY MADAHA: NITAOLEWA 2030
11 years ago
GPL
SHILOLE: BABY MADAHA HAJIELEWI
10 years ago
GPL
BABY MADAHA CHA WOTE?
11 years ago
GPL
BABY MADAHA ANASWA AKIJIPODOA
11 years ago
GPL
BABY MADAHA NUSU ABAKWE