Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BABY MADAHA: NITAOLEWA 2030

Na Nyemo Chilongani
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha amesema hana papara na suala la ndoa kwani amejipanga kutimiza tendo hilo mwaka 2030. Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha. Akizungumza na paparazi wetu, Baby alisema anachoomba ni uzima kwani suala la ndoa analiona halina umuhimu kwa sasa kwani ni kipindi cha yeye kusaka fedha kwa hali na mali. “Sina haraka bwana, maisha haya yanahitaji...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BABY MADAHA

Baby Joseph Madah. Na Waandishi Wetu AMA kweli maovu yanazidi kuongezeka, shetani naye mbioni siku zote kunasa waliyo wake, kauli hizo zote ziko sambamba na staa wa sinema za Kibongo na mkali wa muziki wa Kizazi Kipya, Baby Joseph Madaha amenaswa baada kuingia mkenge mtego wa kujiuza, Ijumaa limesheheni. Kumekuwa na skendo kuwa baadhi ya mastaa wa kike Bongo hujihusisha na biashara ya kujiuza ili kujipatia kipato na kufanya...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA: NIMEUMBUKA!

Stori:   Mwandishi Wetu
Jambo limezua jambo! Ile skandali ya kunaswa baada ya kuingia mkenge kwenye mtego wa kujiuza imemtokea puani staa wa sinema na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ambaye amekiri kuumbuka.
Habari hiyo iliruka hewani kwenye gazeti dada la hili, Ijumaa wiki iliyopita toleo namba 862 la Januari 17 hadi 23 likiwa na kichwa cha habari ‘BABY MADAHA ANASA MTEGO WA KUJIUZA. SAFARINI
Ilielezwa kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

BABY MADAHA AUMBUKA

Na Mayasa Mariwata
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ambaye aliwahi kutangaza kuacha fani ya maigizo na muziki amejikuta akiumbuka kwa mashabiki wake kutokana na kuendelea kukomaa katika gemu kwa kuachia kazi mpya na kuandaa matamasha mbali mbali. Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha akiwa kwenye pozi. Msanii huyo alitoa uamuzi huo kwa madai kuwa alichoshwa na skendo za kila kukicha ambazo...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA ANASWA AKIJIPODOA

Baby Madaha akijipodoa tayari kurekodi video ya wimbo wake wa Nawaponda. Meneja wa Baby Madaha, Joe Kariuki (kulia) akijadiliana jambo na muongozaji wa video hiyo. MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha jana alinaswa na kamera zetu akijipodoa bila kuogopa wala kujali…

 

11 years ago

GPL

SHILOLE: BABY MADAHA HAJIELEWI

Na Shani Ramadhani
STAA wa Mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amemfungukia msanii mwenzake, Baby Joseph Madaha kwamba  hajielewi. Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Shilole ametoa kauli hiyo siku chache baada ya kuchanwa gazetini na Baby Madaha kwa kuambiwa kuwa yeye ni mcheza vigodoro.…

 

10 years ago

Mtanzania

Baby Madaha atamani mtoto

babyNA SHARIFA MMASI, DAR ES SALAAM

MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto. Akizungumza na MTANZANIA jana, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha. Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo...

 

10 years ago

GPL

BABY MADAHA NUSU ABAKWE

Na GLADNESS MALLYA MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Baby Joseph Madaha amenusurika kubakwa nchini Kenya baada ya kupanda jukwaani akiwa ametinga kivazi cha nusu utupu. Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Baby Joseph Madaha akipozi. Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika mji wa Naivasha uliopo Nairobi nchini humo ambapo mwanadada huyo alipopanda jukwaani akiwa amevaa sketi fupi iliyokuwa imeacha sehemu kubwa...

 

10 years ago

GPL

BABY MADAHA CHA WOTE?

Stori: ISSA MNALLY
Baada ya hivi karibuni kunaswa chobingo akiwa na mwanamuziki Haroun Kahena ‘Inspector Haroun’, mwanadada asiyekaukiwa na vituko Baby Joseph Madaha juzikati alibambwa tena akichezewa kimahaba na njemba ndani ya gari kiasi cha kuwafanya wadau kuhoji, yeye ni cha wote?. Baby Joseph Madaha akichepuka na njemba.
Tukio hilo lilijiri hivi karibuni katika Pub moja iliyopo Kijitonyama jijini Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani