BABY MADAHA CHA WOTE?
Stori: ISSA MNALLY Baada ya hivi karibuni kunaswa chobingo akiwa na mwanamuziki Haroun Kahena ‘Inspector Haroun’, mwanadada asiyekaukiwa na vituko Baby Joseph Madaha juzikati alibambwa tena akichezewa kimahaba na njemba ndani ya gari kiasi cha kuwafanya wadau kuhoji, yeye ni cha wote?. Baby Joseph Madaha akichepuka na njemba. Tukio hilo lilijiri hivi karibuni katika Pub moja iliyopo Kijitonyama jijini Dar...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBABY MADAHA
11 years ago
GPLBABY MADAHA AUMBUKA
11 years ago
Michuzi11 Feb
11 years ago
GPLBABY MADAHA: NIMEUMBUKA!
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Baby Madaha atamani mtoto
NA SHARIFA MMASI, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto. Akizungumza na MTANZANIA jana, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha. Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Baby Madaha amsaka Mtitu
MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Baby Madaha kwa wiki moja sasa amekuwa akimsaka Mkurugenzi wa kampuni ya 5 Effects, William Mtitu ili amkabidhi ‘muvi’ yake mpya inayokwenda kwa jina la...
11 years ago
GPLBABY MADAHA ANASWA AKIJIPODOA
9 years ago
GPLBABY MADAHA AREJEA NA MBWEMBWE
11 years ago
GPLBABY MADAHA, SHILOLE WATIFUANA