TAARIFA KWA UMMA KUHUSIANA NA TAARIFA ZISIZO NA UKWELI DHIDI YA WASHIRIKI WA TMT 2015

Picha ya Post iliyopostiwa na Kijana ajulikanae kama Raffayel Mombury.Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ni waandaaji na waendeshaji wa shindano la Kusaka vipaji vya Kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambalo linaendelea kufanyika huku washiriki watano Wakiwa washaenguliwa katika shindano hilo Kutokana na Kutokupata kura za kutosha kutoka kwa watazamaji wa Kipindi hiko mahiri kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV siku ya jumapili saa tatu na nusu usiku.Proin...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi29 Mar
11 years ago
Michuzi02 Aug
10 years ago
Michuzi08 Aug
TAARIFA KWA UMMA: KUHAKIKI TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
07/08/201511/08/20152Pwani na...
10 years ago
Vijimambo
5 years ago
Michuzi03 May
10 years ago
Michuzi
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 — 23 JANUARI 2015
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO HABARI KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 – 23 JANUARI 2015
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote, wadau na umma kwa ujumla kuwa Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza vikao vyake tarehe 13 hadi 23 Januari 2015. Vikao hivyo vitakavyoutangulia mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge la Kumi vitajadili na kuchambua pamoja na mambo mengine Miswada mbalimbali ya...
10 years ago
Michuzi
TAARIFA KWA UMMA: UDASA na ITV Kuandaa Midahalo ya Wagombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015

Picha na Venance Nestory.
1. Katika nchi za kidemokrasia, midahalo ya wagombea imekuwa ni sehemu muhimu katika...
10 years ago
Dewji Blog09 Jan
Taarifa kwa umma kupitia vyombo habari kuhusu vikao vya kamati za Bunge kuanza tarehe 13 — 23 Januari 2015
Mwito kwa kamati 2015.docx by moblog