Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS ALERT: UFAFANUZI WA TAARIFA ZISIZO ZA KWELI KUHUSU UTEUZI WA KONSELI WA HESHIMA JIMBO LA GUANDONG, CHINA


Hivi karibuni kumezuka taarifa za upotoshwaji zilizotolewa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Serikali ya Tanzania imemteua Bw. Salaah, Mkurugenzi wa Home Shopping Centre, (pichani ) kuwa Konseli wa Heshima (Honorary Consul) kwenye mji wa Guangzhou kwenye Jimbo la Guandong. 

Watoa taarifa hizo, hawakutoa ushahidi wowote kuthibitisha madai yao zaidi ya kutoa picha mbalimbali za Bw.Salaah kutoka kwenye mitandao mingine ya kijamii.
Taarifa hizo sio za kweli. Kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: TAARIFA KUHUSU WANAFUNZI 420 WA KITANZANIA WALIOKO KATIKA MJI WA WUHAN NCHINI CHINA


Dare Es Salaam, 14 Februari 2020
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuwaondoa hofu na taharuki Watanzania hususan wazazi, ndugu na jamaa wa wanafunzi takribani 420 walioko katika jimbo la Hubei, mji wa Wuhan Nchini China, ambapo ndio kitovu cha maambukizi ya virusi vya homa ya Corona (COVID-19) kuwa hadi sasa hakuna mwanafunzi au Mtanzania yeyote aliyebainika kuambukizwa virusi hivyo na kuwasihi kuendelea kuwa watulivu wakati serikali ikiendelea kufuatilia hali...

 

10 years ago

Mwananchi

Unaposoma unaweza kutambua taarifa anazoandika mtunzi zilizo kweli na zisizo kweli?

Katika makala yangu yaliyochapishwa gazetini tarehe Julai 6, iliyokuwa na kichwa : “Fahamu namna ya kuboresha uwezo wako wa kusoma,” nilieleza kuwa sharti moja la kusoma vizuri ni kuwa na uwezo wa kusoma huku ukitathmini ukweli wa habari unayosoma. Kuna wasomaji kadhaa wameniomba nieleze jinsi mtu anavyoweza kutathmini anachokisoma.

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: TAARIFA SAHIHI YA TAARIFA YA MABUNDA YA NOTI KWENYE NDOO INAYOZAGAA MITANDANO HII HAPA....

Habari zilizosambaa mitandaoni kuhusiana na mabunda ya noti za dola ya Kimarekani kuwa zimekutwa nyumbani kwa mmoja wa watuhumiwa wa mtandao wa wizi bandarini na TRA sio za kweli, Globu ya Jamii inaweza kuthibitisha.Ukweli ni kwamba mabunda hayo ya noti yalikamatwa huko jijini York, Portland, Marekani Mwezi Septemba mwaka 2010, na sio hapa Dar es salaam, Tanzania kama ambavyo wadau wengi wa mitandao hasa ya Whatsapp na Instagram wanavyovumisha.Tumelazimika kutoa habari hii ili kuokoa wadau...

 

11 years ago

Michuzi

News alert: CCM yachukua tena Jimbo la Kiembesamaki Yaibuka na Ushindi wa Asilimia 75.1

Mgombea wa Chama cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameibuka Kidedea kwa ushindi alioupata katika uchaguzi huo mdogo wa Jimbo hilo baada ya kukaa wazi kwa muda mrefu kutokana na kutenguliwa kwa aliyekuwa Mwakilishi wa jimbo hilo Mhe. Mansoor Yussuf Himid.   Akitangaza matokea hayo ya Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki yalioshirikisha Vyama Sita vya Siasa vilivyosimamisha wagombea wake. Msimamizi wa Uchaguzi Ndg. Suluhu akitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani