Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS ALERT: TAARIFA KUHUSU WANAFUNZI 420 WA KITANZANIA WALIOKO KATIKA MJI WA WUHAN NCHINI CHINA


Dare Es Salaam, 14 Februari 2020
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuwaondoa hofu na taharuki Watanzania hususan wazazi, ndugu na jamaa wa wanafunzi takribani 420 walioko katika jimbo la Hubei, mji wa Wuhan Nchini China, ambapo ndio kitovu cha maambukizi ya virusi vya homa ya Corona (COVID-19) kuwa hadi sasa hakuna mwanafunzi au Mtanzania yeyote aliyebainika kuambukizwa virusi hivyo na kuwasihi kuendelea kuwa watulivu wakati serikali ikiendelea kufuatilia hali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA KITANZANIA WUHAN CHINA WASHIRIKI MAONESHO YA UTAMADUNI

 TAREHE 22 NOVEMBER 2014 UMOJA WA WANAFUNZI WA KITANZANIA WANAOSOMA JIJINI WUHAN CHINA (WUHAN TANZANIAN STUDENTS ASSOCIATION) ULIWAONGOZA WATANZANIA WANAOISHI JIJINI HUMO,KATIKA KUITANGAZA NCHI YA TANZANIA KATIKA MAONESHO HAYO YA KITAMADUNI YALIYOANDALIWA NA CHUO KIKUU CHA WUHAN(WUHANI UNIVERSITY) NA KUSHIRIKISHA MATAIFA MBALIMBALI YA AFRIKA,ULAYA ,AMERIKA YA KUSINI,AMERIKA YA KASKAZINI NA ASIA.AMBAPO WUTASA ILITUMIA FURSA HIYO KUITANGAZA TANZANIA IKIWEMO MBUGA ZA WANYAMA,VYAKULA VYA...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUHUSU WAFUNGWA WA KITANZANIA NCHINI CHINA

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kukanusha taarifa za uvumi zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari kuwa kuna Watanzania wapatao 160 wamenyongwa nchini China kwa kosa la kusafirisha madawa ya kulevya. Wizara inapenda kuujulisha Umma kuwa hakuna Mtanzania yeyote aliyenyongwa kama inavyodaiwa kwenye mitandao na vyombo vya habari. Aidha, taarifa hiyo ya uvumi imedai kuwa ndugu wa mmoja wa Watanzania hao ambaye kwa jina anajulikana...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: UFAFANUZI WA TAARIFA ZISIZO ZA KWELI KUHUSU UTEUZI WA KONSELI WA HESHIMA JIMBO LA GUANDONG, CHINA


Hivi karibuni kumezuka taarifa za upotoshwaji zilizotolewa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Serikali ya Tanzania imemteua Bw. Salaah, Mkurugenzi wa Home Shopping Centre, (pichani ) kuwa Konseli wa Heshima (Honorary Consul) kwenye mji wa Guangzhou kwenye Jimbo la Guandong. 

Watoa taarifa hizo, hawakutoa ushahidi wowote kuthibitisha madai yao zaidi ya kutoa picha mbalimbali za Bw.Salaah kutoka kwenye mitandao mingine ya kijamii.
Taarifa hizo sio za kweli. Kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za...

 

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma mjii wa Nanchang nchini China waanzisha umoja wao

Viongozi wa NATATA, toka kushoto ni Katibu Mkuu Halima Guga,Mwenyekiti Given Massawe na mratibu wa Elimu Abdulkarim Baksh.  Mwenyekiti wa NATASA ,Given Massawe akipozi kwa picha na wadau wa NATASA, toka kushoto  ni Henry Mzava,Evance,Letitia Smith ambae yeye anatoka Namibia, Henry,Hamza Riyani, Charles na Mercy.  M/kiti wa NATASA Given Massawe akikata keki ya ya kuzindua umoja huo pamoja kuazimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tz huku katibu wake Halima Guga akishuhudia. Wakina dada wa ...

 

9 years ago

Michuzi

HAFLA YA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA TANZANIA WUHAN-CHINA (WUTASA) KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WAPYA MWAKA WA MASOMO 2015/16

1Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya na wazamani. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).2Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).3

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Baadhi ya sehemu za mji wa Wuhan zafunguliwa baada ya kufungwa kuzuia maambukizi China

Watu wanaingia katika mji wa Wuhan wa China ambapo mlipuko wa virusi vya corona ulianza

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Uganda yawatumia $60m wanafunzi wake waliokwama Wuhan China

Serikali ya Uganda imesema kwamba inatuma dola elfu sitini ili kuwasaidia wanafunzi wake waliokwama katka mji wa Wuhan nchini China uliotengwa kufuatia mlipuko wa virusi vya corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani