NEWS ALERT: TAARIFA YA IKULU YA UFAFANUZI KUHUSU BARAZA LA MAASKOFU WA KIPENTEKOSTE TANZANIA (PENTECOSTAL COUNCIL OF TANZANIA) KUTOKUWA NA UWALIKILISHI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa. Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Gb_hmItxCFM/U_yjdqFoofI/AAAAAAAGCiU/p2LUak-hf6c/s72-c/unnamed%2B(23).jpg)
Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
OFISI ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-T1H1Wa5WEtc/VKvmw9K4rSI/AAAAAAADLYI/IcZ-5SgQs1U/s72-c/viewer%2B(5).png)
TAARIFA MAALUM YA IKULU KUHUSU HABARI ILIYOCHAPISHWA NA TANZANIA DAIMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-T1H1Wa5WEtc/VKvmw9K4rSI/AAAAAAADLYI/IcZ-5SgQs1U/s1600/viewer%2B(5).png)
Gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Chama cha Upinzani cha CHADEMAla leo, Jumapili, Januari 4, 2015, limeandika habari kwenye ukusara wake wa mbele chini ya kichwa cha habari: ”Wabunge: Ikulu imetudhalilisha” hata kama wabunge wanaokaririwa katika habari hiyo ni wawili tu, Mheshimiwa Freeman Mbowe na Mheshimiwa David Kafulila.Habari hiyo inadai kuwa Ikulu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuteua Mwenyekiti wa Bodi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Y3xg_cHa0to/VFJNtVZCLNI/AAAAAAAGuQo/Mn7QXQDDVsE/s72-c/10747795_1505818026346063_802299687_n.jpg)
NEWS ALERT: UFAFANUZI WA TAARIFA ZISIZO ZA KWELI KUHUSU UTEUZI WA KONSELI WA HESHIMA JIMBO LA GUANDONG, CHINA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Y3xg_cHa0to/VFJNtVZCLNI/AAAAAAAGuQo/Mn7QXQDDVsE/s1600/10747795_1505818026346063_802299687_n.jpg)
Hivi karibuni kumezuka taarifa za upotoshwaji zilizotolewa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Serikali ya Tanzania imemteua Bw. Salaah, Mkurugenzi wa Home Shopping Centre, (pichani ) kuwa Konseli wa Heshima (Honorary Consul) kwenye mji wa Guangzhou kwenye Jimbo la Guandong.
Watoa taarifa hizo, hawakutoa ushahidi wowote kuthibitisha madai yao zaidi ya kutoa picha mbalimbali za Bw.Salaah kutoka kwenye mitandao mingine ya kijamii.
Taarifa hizo sio za kweli. Kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za...
11 years ago
Habarileo20 Feb
Serikali yawapa ufafanuzi maaskofu wa Kipentekoste
SERIKALI haikuwa na nia ya kuwabagua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste (PCT) katika uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba. Imesema uchunguzi uliofanywa, umethibitisha Baraza hilo halikufikisha mapendekezo yake panakohusika.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-i0FHeHtTQ2k/XkbrSuWbhVI/AAAAAAALdeM/ryQom5N-Tu0S3SNVQQLoLaEuer_l_HjfQCLcBGAsYHQ/s72-c/DODOMA%2BHEADEDPAPER.jpg)
NEWS ALERT: TAARIFA KUHUSU WANAFUNZI 420 WA KITANZANIA WALIOKO KATIKA MJI WA WUHAN NCHINI CHINA
![](https://1.bp.blogspot.com/-i0FHeHtTQ2k/XkbrSuWbhVI/AAAAAAALdeM/ryQom5N-Tu0S3SNVQQLoLaEuer_l_HjfQCLcBGAsYHQ/s640/DODOMA%2BHEADEDPAPER.jpg)
Dare Es Salaam, 14 Februari 2020
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuwaondoa hofu na taharuki Watanzania hususan wazazi, ndugu na jamaa wa wanafunzi takribani 420 walioko katika jimbo la Hubei, mji wa Wuhan Nchini China, ambapo ndio kitovu cha maambukizi ya virusi vya homa ya Corona (COVID-19) kuwa hadi sasa hakuna mwanafunzi au Mtanzania yeyote aliyebainika kuambukizwa virusi hivyo na kuwasihi kuendelea kuwa watulivu wakati serikali ikiendelea kufuatilia hali...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania