TAARIFA MAALUM YA IKULU KUHUSU HABARI ILIYOCHAPISHWA NA TANZANIA DAIMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-T1H1Wa5WEtc/VKvmw9K4rSI/AAAAAAADLYI/IcZ-5SgQs1U/s72-c/viewer%2B(5).png)
Rais hajadharau Bunge
Gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Chama cha Upinzani cha CHADEMAla leo, Jumapili, Januari 4, 2015, limeandika habari kwenye ukusara wake wa mbele chini ya kichwa cha habari: ”Wabunge: Ikulu imetudhalilisha” hata kama wabunge wanaokaririwa katika habari hiyo ni wawili tu, Mheshimiwa Freeman Mbowe na Mheshimiwa David Kafulila.Habari hiyo inadai kuwa Ikulu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuteua Mwenyekiti wa Bodi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi19 Feb
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i41PO2l4KKUOY-Ah-KiTBRb0jv3ayZyI6LdEK32ScoZFu9b1w3BfplUW*bQSrywBHT3KmX*EPb3On72Dm0EeZx2qsNpGFAtD/10450830_864857170244945_4466914772887519719_n.jpg?width=600)
TAARIFA MAALUM YA KAMATI KUHUSU HALI YA KIFEDHA NA KIUTENDAJI YA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-EDitVk1e5LI/U75D1OgBjmI/AAAAAAAF0ZI/EzfIqpunWJI/s72-c/Tanesco_Logo.jpg)
Kukanusha habari iliyochapishwa gazeti la nipashe
![](http://4.bp.blogspot.com/-EDitVk1e5LI/U75D1OgBjmI/AAAAAAAF0ZI/EzfIqpunWJI/s1600/Tanesco_Logo.jpg)
Katika toleo lake la Jumanne Julai 8, 2014 Gazeti la Nipashe katika ukurasa wa tano (5) lilichapisha taarifa yenye kichwa cha habari “Bodi TANESCO yapinga Baraza la Mawaziri”. Kwa mujibu wa gazeti hilo ni kwamba taarifa hiyo imetolewa na anayesemekana kuwa ni mjumbe wa Bodi ambaye hakutaka jina lake litajwe.
Nikiwa ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kwa niaba ya wakurugenzi wa bodi ya TANESCO ninakanusha vikali kuwa taarifa hiyo si ya kweli, ni ya...
11 years ago
MichuziLHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MWENENDO WA MCHAKATO WA UTUNGAJI WA KATIBA MPYA TANZANIA UNAOENDELEA DODOMA
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Michuzi15 Sep
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-NG-OTarbeQw/UyBroYZujxI/AAAAAAAFTGs/LYugYWJnptc/s72-c/unnamed+(7).jpg)
JUST IN: Taarifa Kuhusu Kukamilika Kwa Zoezi La Uteuzi Wa Mgombea Wa Mwenyekiti Wa Bunge Maalum
![](http://1.bp.blogspot.com/-NG-OTarbeQw/UyBroYZujxI/AAAAAAAFTGs/LYugYWJnptc/s1600/unnamed+(7).jpg)