Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUST IN: Taarifa Kuhusu Kukamilika Kwa Zoezi La Uteuzi Wa Mgombea Wa Mwenyekiti Wa Bunge Maalum

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashililah akiongea na waandishi wa habari kuhusu kukamilika kwa zoezi la uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum Ofisi kwake leo. Picha na Owen wa Bunge.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: TAARIFA MUHIMU KUHUSU KUENDELEA KWA KIKAO CHA BUNGE MAALUM KESHO TAREHE 18 MACHI, 2014

Baada ya kutokea vurugugu zilizosababishwa na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum kupelekea Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Jaji Joseph Warioba  (pichani juu, akiongozwa kutoka Bungeni baada ya zoezi la kuwasilisha rasimu ya katiba kuahirishwa) kutokuwasilisha rasimu ya pili ya Katiba kwa wajumbe hao, Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sitta aliitisha kikao cha maridhiano na baadhi ya wajumbe wanaowakilisha makundi mbalimbali yaliyopo katika Bunge hilo ili kupata muafaka wa...

 

11 years ago

Michuzi

wajumbe wa bunge maalum wahitimisha zoezi la kuapa kwa muda uliopangwa

 Mwenyekiti wa i wa Bunge maalum, Mhe.Samwel Sitt akiahirisha bunge hadi Jumatatu mara baada ya zoezi la kuwaapisha wabunge. Wajumbe ambao hawajaapishwa ni wale waliopo nje ya mkoa wa Dodoma kwa udhuru, na wataapishwa wiki ijayo.  Wajumbe wa Bunge maalum Mhe,Anne Kilango Malecela (shoto) akijadiliana jambo na Mhe.Beatrice Shelukindo wakati wa zoezi la kuapisha wabunge.    Waheshimiwa, Zakhia Meghji, Zarina Shamte Madabida na Zaynabu Matitu Vullu wakisubiri zamu yao ya kuapishwa wakiwa ni...

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa kwa Wajumbe wa Bunge Maalum

Katibu wa Bunge Maalum Bwana Yahaya Khamis Hamad anawatangazia Wajumbe wote wa Bunge Maalum kuwa wafike kwenye viwanja vya Bunge leo saa 8:45 mchana ili kushiriki kikao cha Bunge Maalum kitakachoanza saa 9:00 mchana na kufuatiwa na hutuba ya ufunguzi wa Bunge Maalum itakayotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete saa 10 jioni. Kwa maelezo zaidi piga 0713 123 254.


Imetolewa na Ofisi ya Katibu wa Bunge Maalum

DODOMA


21/03/2014

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani