Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taarifa kwa Wajumbe wa Bunge Maalum

Katibu wa Bunge Maalum Bwana Yahaya Khamis Hamad anawatangazia Wajumbe wote wa Bunge Maalum kuwa wafike kwenye viwanja vya Bunge leo saa 8:45 mchana ili kushiriki kikao cha Bunge Maalum kitakachoanza saa 9:00 mchana na kufuatiwa na hutuba ya ufunguzi wa Bunge Maalum itakayotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete saa 10 jioni. Kwa maelezo zaidi piga 0713 123 254.


Imetolewa na Ofisi ya Katibu wa Bunge Maalum

DODOMA


21/03/2014

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA MUHIMU: Semina ya wajumbe wa Bunge maalum imeahirishwa mpaka saa tisa mchana leo.

Kikao cha semina ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kilichokuwa kiendelee leo saa nne asubuhi baada ya Mwenyekiti wake wa Muda Mhe. Pandu Amir Kificho Kuaarisha jana mchana sasa kitaendelea leo tarehe 8 machi 2014 saa tisa alasiri. 
Hii ni kutokana a kamati ya maridhiano inayopitia vifungu ilivyokuwa inafanyia kazi kuomba mda zaidi.Hivyo wajumbe wote wa Bunge maalum wanaombwa kufika Bungeni kuendelea na semina hiyo saa tisa alasiri badala ya saa nnne asubuhi.
Imetolewa na:  Katibu wa...

 

11 years ago

Michuzi

wajumbe wa bunge maalum wahitimisha zoezi la kuapa kwa muda uliopangwa

 Mwenyekiti wa i wa Bunge maalum, Mhe.Samwel Sitt akiahirisha bunge hadi Jumatatu mara baada ya zoezi la kuwaapisha wabunge. Wajumbe ambao hawajaapishwa ni wale waliopo nje ya mkoa wa Dodoma kwa udhuru, na wataapishwa wiki ijayo.  Wajumbe wa Bunge maalum Mhe,Anne Kilango Malecela (shoto) akijadiliana jambo na Mhe.Beatrice Shelukindo wakati wa zoezi la kuapisha wabunge.    Waheshimiwa, Zakhia Meghji, Zarina Shamte Madabida na Zaynabu Matitu Vullu wakisubiri zamu yao ya kuapishwa wakiwa ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani