Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KWA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa kwa Wajumbe wa Bunge Maalum

Katibu wa Bunge Maalum Bwana Yahaya Khamis Hamad anawatangazia Wajumbe wote wa Bunge Maalum kuwa wafike kwenye viwanja vya Bunge leo saa 8:45 mchana ili kushiriki kikao cha Bunge Maalum kitakachoanza saa 9:00 mchana na kufuatiwa na hutuba ya ufunguzi wa Bunge Maalum itakayotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete saa 10 jioni. Kwa maelezo zaidi piga 0713 123 254.


Imetolewa na Ofisi ya Katibu wa Bunge Maalum

DODOMA


21/03/2014

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA MASHAURIANO YATOA WITO KWA WAJUMBE WALIOSUSIA MIKUTANO YA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUREJEA BUNGENI

Katibu wa Bunge Maalumu  la Katiba,Yahya Khamis Hamad akizungumza na Wanahabari mapema leo mchana katika ofisi ndogo ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dar,kuhusiana na maoni na ushauri wa kikao cha kamati ya Mashauriano ya Bunge maalum la katiba kilichofanyika jana julai,24,2004 katika Ofisi ndogo za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dar.Mh. Yahya alisoma taarifa hiyo kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta.Baadhi ya Wanahabari kutoka...

 

11 years ago

GPL

MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAWANOA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM‏ LA KATIBA

Mkurugenzi wa Mfuko wa Wanawake Tanzania (WFT), Mary Rusimbi akiwasilisha mada katika mkutano wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba pamoja na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba wakijiandikisha kabla ya kuanza kwa…

 

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa Wanawake na Katiba Wawapongeza Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari.Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Prof. Ruth Meena (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi na wajumbe wengine wa mtandao wa wanawake na Katiba.Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Usu Mallya (katikati) akizungumza katika mkutano huo na wanahabari.Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Usu Mallya (katikati) akizungumza katika mkutano huo na wanahabari.---------------------------------------------------MTANDAO wa Wanawake na Katiba Tanzania umewapongeza wajumbe wa Bunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani