Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA MAALUM YA KAMATI KUHUSU HALI YA KIFEDHA NA KIUTENDAJI YA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL)

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe. Mheshimiwa Spika,tarehe 21 Januari 2015, Kamati ilifanya kikao cha mashauriano kilichohudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Msajili wa Hazina, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Menejiment ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL). Lengo la kikao hicho likiwa ni kutafuta namna bora ya kuikwamua TTCL kutoka katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) NA OFISI ZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dkt Kamugisha Kazaura(aliyesimama) akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Mkongo wa Taifa wa TEHEMA kwa wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu. Kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mama Edwina Lupembe; kushoto ni katibu wa TTCL Bi. Lugano Rwetaka. Kamati ya Bunge ya Miundombinu ilipotembelea ofisi za mkongo wa Taifa wa Mawasiliano. Mhandisi Adam Mwaipungu akifafanua jambo kuhusu mtambo wa RCIP ambao...

 

10 years ago

Michuzi

Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Yazinduwa Dili la Ukweli

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imezinduwa huduma mpya kabambe ambayo inampa mteja wa kapuni hiyo fursa ya kufurahia modem ya bure na vifurushi vya intaneti kwa bei nafuu, huduma ambayo imetolewa kama ofa kwa wateja hasa katika kuelekea siku kuu za Chrismas na Mwaka mpya.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam juu ya huduma hiyo, Meneja Huduma za Intaneti wa TTCL, Abdul Mombokaleo amesema kampuni ya Simu Tanzania imeamua kuzindua promosheni mpya ya “DILI LA UKWELI” inayotoa fursa ya mteja wa...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LAKABIDHIWA MRADI WA USIMIKAJI WA HUDUMA YA MKONGO WA TAIFA NA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL)

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kamugisha Kazaura (Kulia) akimkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa(TTCL) Justine Mwandu(Kushoto) baada ya kukamilisha mradi wa kuunganisha Makao Makuu ya NIC na matawi 24 nchi nzima kwenye mtandao wa TTCL(MPLS-VPN). Tukio hilo limefanyika katika ofisi za Shirika la Bima la Taifa (NIC).Meneja wa Mradi wa TTCL Ngayalina Mihayo akitoa ufafanuzi kuhusu Shirika la Bima la Taifa jinsi lilivyounganishwa katika mtandaowa TTCL wa MPLS- VPN.NIC...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Simu ya Tigo, Huawei wazindua simu ya watu wa hali ya chini jijini Dar

1

Meneja wa Vifaa vya Huawei,  Peter Zhang Nchini (kulia), akionesha aina ya simu ya Huawei Y 360 na Y 625 ambazo zina uwezo wa hali ya juu katika matumizi ya nyanja mbalimbali wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam katika uzinduzi wa simu hizo. Kushoto ni Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga.

2 (1)

Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga, akizungumza katika mkutano huo.

IMG_8227

Wanahabri kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa ya uzinduzi...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO, HUAWEI WAZINDUA SIMU YA WATU WA HALI YA CHINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Meneja wa Vifaa vya Huawei,  Peter Zhang Nchini (kulia), akionesha aina ya simu ya Huawei Y 360 na Y 625 ambazo zina uwezo wa hali ya juu katika matumizi ya nyanja mbalimbali wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi katika uzinduzi wa simu hizo. Kushoto ni Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga. Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga, akizungumza katika mkutano huo.Wanahabri kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa ya uzinduzi...

 

10 years ago

StarTV

Kampuni ya Simu TTCL yakanusha kufilisika.

Na Lilian Mtono,

Dar es Salaam.

Wakati taarifa za kufilisika kwa Kampuni ya simu nchini TTCL zikichukua nafasi hivi sasa, kampuni hiyo imekanusha madai hayo ikiwahakikishia watanzania maboresho ya huduma zake yatakayoanza kufanyika hivi karibuni na huduma bora zaidi kuanza kutolewa baadae mwaka huu.

 

Imesema, tayari imekwishasaini makubaliano ya maboresho hayo na kinachosubiriwa sasa ni kuanza kwa utekelezaji wake.

 

TTCL, kampuni tanzu ya huduma za mawasiliano hapa nchini, hivi sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani