Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kukanusha habari iliyochapishwa gazeti la nipashe


Katika toleo lake la Jumanne Julai 8, 2014 Gazeti la Nipashe katika ukurasa wa tano (5) lilichapisha taarifa yenye kichwa cha habari “Bodi TANESCO yapinga Baraza la Mawaziri”.  Kwa mujibu wa gazeti hilo ni kwamba taarifa hiyo imetolewa na anayesemekana kuwa ni mjumbe wa Bodi ambaye hakutaka  jina lake litajwe.
Nikiwa ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kwa niaba ya wakurugenzi wa bodi ya TANESCO ninakanusha vikali kuwa taarifa hiyo si ya kweli, ni ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Gazeti laagizwa kukanusha ebola imeingia nchini

SERIKALI imetaka gazeti la Sani kukanusha habari iliyoandikwa ukurasa wa kwanza kwamba, ugonjwa wa ebola umeingia nchini. Imeagiza hilo lifanyike haraka vinginevyo, hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufungia gazeti hilo.

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA MAALUM YA IKULU KUHUSU HABARI ILIYOCHAPISHWA NA TANZANIA DAIMA


Rais hajadharau Bunge
Gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Chama cha Upinzani cha CHADEMAla leo, Jumapili, Januari 4, 2015, limeandika habari kwenye ukusara wake wa mbele chini ya kichwa cha habari: ”Wabunge: Ikulu imetudhalilisha” hata kama wabunge wanaokaririwa katika habari hiyo ni wawili tu, Mheshimiwa Freeman Mbowe na Mheshimiwa David Kafulila.Habari hiyo inadai kuwa Ikulu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuteua Mwenyekiti wa Bodi...

 

10 years ago

Vijimambo

KUKANUSHA TAARIFA ILIYOANDIKWA NA GAZETI LA JAMHURI KUHUSIANA NA ZIARA YA WAZIRI LAZARO NYALANDU NCHINI MAREKANI

Timu ya Vijimambo inamasikitiko makubwa ya habari ya upotoshaji iliyoandikwa na gazeti la Jamhuri lililobeba kichwa cha habari "AUNTY EZEKIEL ATANUA NA WAZIRI NYALANDU MAREKANI" yakiwemo magazeti mengine yaliyodandia kuandika habari hii bila kujua ukweli upo wapi. Timu ya Vijimambo ikiwemo kamati ya maandalizi imechukizwa sana kwa Gazeti hili kuandika habari ya kizushi na inayojeruhi hisia ya familia ya Mhe. Waziri  Lazaro Nyalandu kwa makusudi. 
Habari hii ni uongo ulioandikwa kichochezi na...

 

10 years ago

GPL

GAZETI LA IJUMAA NDIYO HABARI YA MJINI !

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers wakiwa wanasoma gazeti la Ijumaa huku wakiwa wamevalia T-Shirt zinazolitangaza gazeti hilo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Global wakiwa wamependeza ndani ya t-shirt zenye chata la Ijumaa.
Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amrani…

 

9 years ago

CCM Blog

NAPE AENDELEA NA ZIARA KATIKA VYOMBO VYA HABARI ATEMBELEA GAZETI LA RAIA TANZANIA LEO



 Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza na Wahariri wa gazeti la Raia Tanzania na Raia Mwema katia ofisi za magazeti hayo jijini Dar es Salaam.
  Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati wa kikao na wahariri wa magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania.

  Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza huku Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania Ndugu Godfrey Dilunga akimsikiliza kwa makini.

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: IKULU YAKANUSHA HABARI YA GAZETI LA MWANANCHI YA RAIS KUMTEMBELEA MFUNGWA MARANDA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) katika  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili – Ndugu Salum Mkambala wa Channel Ten (juu) na chini Ndugu Margaret Chambili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).


 

10 years ago

Michuzi

CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI KIGOMA WAZINDUA GAZETI LAO LA KIGOMA YETU

 Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma KWA niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali mstaafu Issa Machibya ,Mkuu wa Wilaya ya Kigoma mjini Exavery Maketa jana alizindua gazeti la Kigoma yetu linaalomilikiwa na CHAMA cha waandishi wa habari wa Mkoa wa Kigoma (KGPC). Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa Kibo Peak uliopo mjini hapa na kuhudhuriwa na mamia ya wadau mbalimbali wa sekta ya habari pamoja na wakazi wa Mkoa wote wa Kigoma Akiongea katika uzinduzi huo katika hotuba yake Mkuu a...

 

10 years ago

Bongo5

Lady Jaydee ajibu habari ya gazeti la udaku kuwa na uhusiano na ‘Dogo Dogo’

Lady Jaydee ameamua kujibu habari iliyoandikwa kwenye gazeti la udaku la Risasi kuhusu kuwa na uhusiano na aliyewahi kuwa mtuma salamu maarufu kwenye redio, Meddy Ahmed aka ‘Mtoto wa Vitoto’. Kwenye habari hiyo, Risasi wanadai kuwa Jaydee ambaye anadaiwa kuachana na mume wake Gadner G Habash ameonekana mara kadhaa na Mtoto wa Vitoto na kwamba […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani