KUKANUSHA TAARIFA ILIYOANDIKWA NA GAZETI LA JAMHURI KUHUSIANA NA ZIARA YA WAZIRI LAZARO NYALANDU NCHINI MAREKANI
Timu ya Vijimambo inamasikitiko makubwa ya habari ya upotoshaji iliyoandikwa na gazeti la Jamhuri lililobeba kichwa cha habari "AUNTY EZEKIEL ATANUA NA WAZIRI NYALANDU MAREKANI" yakiwemo magazeti mengine yaliyodandia kuandika habari hii bila kujua ukweli upo wapi. Timu ya Vijimambo ikiwemo kamati ya maandalizi imechukizwa sana kwa Gazeti hili kuandika habari ya kizushi na inayojeruhi hisia ya familia ya Mhe. Waziri Lazaro Nyalandu kwa makusudi.
Habari hii ni uongo ulioandikwa kichochezi na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru NewspaperZIARA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MH. LAZARO NYALANDU NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboWAZIRI LAZARO NYALANDU AZUNGUMZIA TETESI ZA KUTANUA NA AUNT EZEKIEL NCHINI MAREKANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-rOQZv28JtgI/T4gLSkQwLzI/AAAAAAAAHJE/BksQRWxDToI/s640/1.jpg)
Nyalandu alisema alikwenda Marekani septemba12 kwa ajili ya kufungua tamasha la utamaduni na utalii kupitia soko la wasanii wa Tanzania ambako...
10 years ago
Michuzi13 Sep
MHE. LAZARO NYALANDU AKUTANA NA WADAU WA UTALII NCHINI MAREKANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CWRwFfvur*AeoJrCD-1RWwYeS869yl1bJn1VO2YFxWxEQ1u7auY0JczD2QZZAD4Bi8MFh7yZPnzmvqiNAHnkAilo2i7yh*fA/1.jpg?width=650)
MHE. LAZARO NYALANDU AKUTANA NA WADAU WA UTALII NCHINI MAREKANI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yJaI-TFtrz8/U8kk6sTA2NI/AAAAAAAF3Zg/RKwbPqid7TE/s72-c/unnamed+(28).jpg)
WAZIRI LAZARO NYALANDU AKUTANA NA BALOZI WA HESHIMA WA UTALII BEVERLEY, LOS ANGELES MAREKANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-yJaI-TFtrz8/U8kk6sTA2NI/AAAAAAAF3Zg/RKwbPqid7TE/s1600/unnamed+(28).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-1vIfOO0BdPw/U8kk7q30DuI/AAAAAAAF3Zo/rv7HhDWWB7c/s1600/unnamed+(31).jpg)
10 years ago
MichuziWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU AFANYA ZIARA KATIKA VIJIJI VINAVYOZUNGUKA HIFADHI YA RUAHA KUTATUA MIGOGORO YA WANANCHI NA WAWEKEZAJI
10 years ago
Habarileo15 Aug
Gazeti laagizwa kukanusha ebola imeingia nchini
SERIKALI imetaka gazeti la Sani kukanusha habari iliyoandikwa ukurasa wa kwanza kwamba, ugonjwa wa ebola umeingia nchini. Imeagiza hilo lifanyike haraka vinginevyo, hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufungia gazeti hilo.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1x_0pXXw7_E/VK5k_cR40DI/AAAAAAAAsOM/dxXsP7RxO0c/s72-c/Lazaro%2BNyalandu.jpg)
TAARIFA YA MHE LAZARO NYALANDU
![](http://1.bp.blogspot.com/-1x_0pXXw7_E/VK5k_cR40DI/AAAAAAAAsOM/dxXsP7RxO0c/s1600/Lazaro%2BNyalandu.jpg)
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Lazaro Nyalandu: Waziri wa Maliasili na Utalii