LHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MWENENDO WA MCHAKATO WA UTUNGAJI WA KATIBA MPYA TANZANIA UNAOENDELEA DODOMA
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mwenendo wa mchakato wa utungaji wa Katiba Mpya ya Tanzania unaoendelea Dodoma. Kushoto ni Mtetezi wa Haki za Wanawake, Ananilea Nkya.
Mtetezi wa Haki za Wanawake, Ananilea Nkya (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Ofisa Mipango kutoka Taasisi ya Sikika, Patrick Kinemo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLLHRC CHATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MWENENDO NA HATUA ZA KISHERIA KWA VIONGOZI WA UMMA WANAOKIUKA MAADILI
11 years ago
MichuziLHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YA NUSU MWAKA KUANZIA JANUARY HADI JUNI 2014
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema kuwa hadi kufikia Juni 2014 wanawake na wasichana 2878 wamebakwa nchini kutokana na vitendo vya ukatili dhidi yao.
Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Dk. Helen Kijo-Bisimba wakati akitoa taarifa ya kipindi cha nusu mwaka kuanzia Januari na Juni mwaka huu kwa vyombo vya habari Dar es Salaam leo.
"Vitendo hivyo vya kikatili dhidi ya makundi hayo vilivyoripotiwa polisi kwa nchi nzima vilikuwa 3,633"...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Vyombo vya habari vimesinzia mchakato wa katiba mpya
NIMEANGALIA na kusoma baadhi ya magazeti ya jana. Mengi yameandika kuhusu uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba. Sijaridhika na kazi iliyofanywa na vyombo vya habari hasa magazeti katika mchakato wa kuelekea Katiba...
9 years ago
Vijimambo28 Oct
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UHAMISHO WA BALOZI KALAGHE
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
20 KIVUKONI FRONT, P.O. BOX 9000, 11466 DAR ES SALAAM, Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-vLfXd-bG2Es/Vijl3khwR2I/AAAAAAABKfY/svBNgeNE6fk/s72-c/CCM%2BLOGO.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA CCM KUHUSU KUFUNGA KAMPENI
![](http://3.bp.blogspot.com/-vLfXd-bG2Es/Vijl3khwR2I/AAAAAAABKfY/svBNgeNE6fk/s320/CCM%2BLOGO.png)
Kufunga Kampeni
CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM Kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi watakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo:
1. Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa...
9 years ago
Michuzi17 Sep