Wema :Kweli Nimeolewa
Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amemaliza utaa wa picha zake zilizozagaa mtandaoni akiwa amavalia shera kwa kuweka wazi kuwa ni kweli ameolewa.
Leo akiongea na Soudy Brown kwenye U Heard ya XXL Clouds FM, Wema ameeleza kuwa Katika kipindi cha xxl cha yeye tayari ni mke wa mtu, na kwamba yeye na mwenza wake huyo wameshafunga ndoa ya kikistso na mme wake huyo amekubaliana na hali yake ya kutoweza kupata na mtoto. Wema aliongeza kua mwisho wa mwezi wa tano watafanya party...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
11 years ago
Bongo Movies13 Jul
Kajala afunguka kuwa wema sepetu ni mnafiki na si rafiki wa kweli.
STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006/07, Wema Sepetu, uliorudishwa hivi karibuni baada ya kuwekana sawa ni wa kinafiki huku akidai Wema ni kigeugeu.
Akizungumza kwa kujiamini mbele ya waandishi wa GPL, juzi Jumatano pande wa Mikocheni jijini Dar es Salaam, Kajala alisema: “Wema ni mnafiki kabisa. Upatanisho wetu ni wa uongo. Mimi moyoni nimeondoa kinyongo lakini mwenzangu naona kama bado ana donge moyoni.”
Kajala alisema...
9 years ago
Mtanzania08 Sep
Baby Jay: Msinisumbue nimeolewa
NA SHARIFA MMASI
MKALI wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Visiwani Zanzibar, Jamila Abdallah ‘Baby Jay’, amewataka wanaume wakware wanaomsumbua wakimtaka kimapenzi waache tabia hiyo kwa kuwa ameolewa.
Mwanadada huyo alisema muda mwingi amekuwa akipata usumbufu wa simu kutoka kwa watu asiowajua wakimtaka kimapenzi.
“Siwezi kukwepa kutongozwa, lakini usumbufu umekuwa mkubwa, najua wanaofanya hivyo wananifahamu, napenda kupitia hapa niwaombe waache usumbufu mimi nimeolewa nina mume wangu,’’...
10 years ago
Bongo Movies04 Apr
Ni Kweli Wema Anatamani Kufanya Kama Amber Rose? Soma Alichoandika
HAPA NA PALE: Moja kati ya mastori ya makubwa kabisa kwenye ulimwengu wa ‘Gossip ‘ ni kitendo cha mwanadada Amber Rose kuiambia dunia kuwa penzi lake lipo kwa aliekuwa mpenzi wake Wiz Khalifa haijalishi watu watasemaje kwani Wiz ndio mwanaume anaempa furaha na amani ya moyo wake kitu kinachoashilia huenda wawili hao kwasasa mambo shwaari.
“My ManCrushEveryday you know what it is.... We went wrong somewhere and even if we never ever get back together ( Even tho I pray, dream and hope we do)...
10 years ago
Bongo Movies04 Apr
Ni Kweli Wema Anatamni Kufanya Kama Amber Rose? Soma Alichoandika
HAPA NA PALE: Moja kati ya mastori ya makubwa kabisa kwenye ulimwengu wa ‘Gossip ‘ ni kitendo cha mwanadada Amber Rose kuiambia dunia kuwa penzi lake lipo kwa aliekuwa mpenzi wake Wiz Khalifa haijalishi watu watasemaje kwani Wiz ndio mwanaume anaempa furaha na amani ya moyo wake kitu kinachoashilia huenda wawili hao kwasasa mambo shwaari.
“My ManCrushEveryday you know what it is.... We went wrong somewhere and even if we never ever get back together ( Even tho I pray, dream and hope we do)...
10 years ago
Bongo Movies25 Jan
HOJA:Ni kweli umaarufu wa Wema Sepetu umeshuka baada ya kuachana na Diamond?
Kutoka kwenye familia ya kawaida (kama zilivyo familia nyingi za Kitanzania), Diamond alikuwa akihaha huku na kule kutafuta fedha ya kuingia studio.
Fast forward – kwa kuungaunga hivyo hivyo alifanikiwa kurekodi wimbo uliokuja kubadilisha maisha yake, ‘Kamwambie’.
Ni wimbo aliouandika kwa hisia kutokana na kuhusisha kisa cha kweli cha kuachwa na msichana....
10 years ago
Bongo Movies11 Mar
Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba Kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume wa Kweli!
Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amekanusha kurudiana na mpenzi wake wa zamani Chaz Baba japo amedai kuwa muimbaji huyo wa muziki wa band ndiye mwanaume wa pekee ambaye hakuwa na masuala ya kiswazi baada ya kuachana.
Wema ameiambia U Heard ya Clouds FM Jumatano hii kuwa Chaz Baba kwa sasa ni mshkaji wake na hata alipooa alimchangia pesa.
“Chaz Baba alikuwa ni msikaji wangu naweza kusema ndio boyfriend pekee asiye na mambo ya Kiswahili,” amesema. “Tulizinguana tukafika pointi...
10 years ago
VijimamboUtajua Marafiki wa kweli na Mburulazzz, Lulu Michael Ndio Rafiki wa Kweli