Baby Jay: Msinisumbue nimeolewa
NA SHARIFA MMASI
MKALI wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Visiwani Zanzibar, Jamila Abdallah ‘Baby Jay’, amewataka wanaume wakware wanaomsumbua wakimtaka kimapenzi waache tabia hiyo kwa kuwa ameolewa.
Mwanadada huyo alisema muda mwingi amekuwa akipata usumbufu wa simu kutoka kwa watu asiowajua wakimtaka kimapenzi.
“Siwezi kukwepa kutongozwa, lakini usumbufu umekuwa mkubwa, najua wanaofanya hivyo wananifahamu, napenda kupitia hapa niwaombe waache usumbufu mimi nimeolewa nina mume wangu,’’...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Nov
Baby Jay aeleza matarajio yake akiwa chini ya uongozi mpya wa Fella na Tale
![11910514_1643281142605929_1772135023_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11910514_1643281142605929_1772135023_n-300x194.jpg)
Mwimbaji mahiri, Baby Jay amesema ana matarajio ya kupiga hatua katika muziki wake baada uongozi mpya wa Mkubwa Fella pamoja na Babu Tale kumchukua na kusimamia kazi zake za muziki.
Baby Jay ameiambia Bongo5 kuwa, ilikuwa ni ndoto yake ya muda mrefu kufanya kazi na uongozi mkubwa ambao utaweza kupeleka mbele muziki wake.
“Kwanza kuja kwa Tale na Fella ni wakati sahihi kwangu. Niwakati ambao nilikuwa naitaji watu ambao nitafanyanao kazi ya uhakika, wamekuja wakati ambao nimekuwa na...
10 years ago
Bongo Movies30 Apr
Wema :Kweli Nimeolewa
Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amemaliza utaa wa picha zake zilizozagaa mtandaoni akiwa amavalia shera kwa kuweka wazi kuwa ni kweli ameolewa.
Leo akiongea na Soudy Brown kwenye U Heard ya XXL Clouds FM, Wema ameeleza kuwa Katika kipindi cha xxl cha yeye tayari ni mke wa mtu, na kwamba yeye na mwenza wake huyo wameshafunga ndoa ya kikistso na mme wake huyo amekubaliana na hali yake ya kutoweza kupata na mtoto. Wema aliongeza kua mwisho wa mwezi wa tano watafanya party...
10 years ago
Bongo Movies23 May
Lulu: Wanaonipenda Kweli, Wanafiki na Wale Baby Baby NAWAJUA
Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameandika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni, bila shaka na wewe ANAKUJUA.
Mnaonipa Moyo na Kunipenda kiukweli....NAWAJUA
Wakuongea Nao Ya Moyoni....NAWAJUA
Wale wa kuni baby baby on IG kumbe Hakuna lolote....NAWAJUA
Wale mnajifanya shoulders to cry on ili mpate kunijua kirahisi...NAWAJUA ila SIWEZI KUWAPA HIYO CHANCE AISEEE...I'm Soleeeeee
Wale tunaochekeana kinafki...NAWAJUA I hope MNANIJUA PIA yani TUNAJUANA
Wale Waukweli kbsa ....NAWAJUA