Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWELI MUNGU MKUBWA!

Na Waandishi Wetu, MWANZA HAKUNA neno jingine la kutumia zaidi ya kusema; KWELI MUNGU MKUBWA! Ni miezi mitano sasa imekatika tangu kusambaa kwa picha mitandaoni zilizomwonesha mwanaume mmoja akiwa ameshindiliwa sululu kichwani huku kisa kikiwa hakijulikani. Bw. Oka Kaombe akisimulia mkasa uliomkuta bara baada ya kupona majeraha ya sululu iliyozamishwa kichwani mwake.
Mbali na mitandao ya… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MUNGU MKUBWA

Stori:   Imelda Mtema na Hamida Hassan INGAWAJE Said (38), mkazi wa Bagamoyo kwa Mtoro, Pwani ambaye aliteseka na uvimbe mkubwa usoni kwa miaka 12 sasa amepona baada ya kufanyiwa upasuaji katika Hospital ya CCBRT iliyopo jijini Dar. Kijana Said ambaye aliteseka na uvimbe mkubwa usoni sasa amepona baada ya kufanyiwa upasuaji katika Hospital ya CCBRT iliyopo jijini Dar. Akizungumza na waandishi wa habari hii,  Ngawaje...

 

9 years ago

Raia Mwema

Ni kweli Rais huchaguliwa na Mungu lakini …

WAKATI tukisubiri majibu ya Uchaguzi Mkuu ili kumfahamu nani ataibuka rais wa taifa letu kwa awam

Privatus Karugendo

 

10 years ago

GPL

AISHA MADINDA MUNGU MKUBWA!

Stori: Gladness Mallya Mungu mkubwa! Mkata mayenu wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Aisha Madinda amekula shavu la kwenda kunengua Dubai na kuachana na bendi hiyo kwa muda.Kwa mujibu wa chanzo makini ndani ya bendi hiyo, Aisha alikuwa ameshaanza kufanya mazoezi lakini hivi karibuni amekwenda Dubai kwa ajili ya kucheza shoo. Mkata mayenu wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Aisha...

 

10 years ago

GPL

MAMA DIAMOND MUNGU MKUBWA!

Stori: Na Musa Mateja/Ijumaa Wikienda
Thank you God! Neno pekee unaloweza kusema ni Mungu mkubwa baada ya kusikia taarifa kwamba mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’, amerejeshwa Bongo kutoka India ambapo afya yake imetengemaa, Ijumaa Wikienda lina kitu kamili. Mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,...

 

10 years ago

GPL

MUNGU MKUBWA, BANZA ATOKA HOSPITALI

Gladness mallya
BAADA ya mwanamuziki wa Dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kulazwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar kwa siku saba, hatimaye ameruhusiwa kurejea nyumbani baada ya kupata nafuu. Mwanamuziki wa Dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone. Banza aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo, Jumatano iliyopita ambapo kwa mujibu wa kaka yake ana nafuu japokuwa bado hali si shwari kwani...

 

10 years ago

GPL

MUNGU MKUBWA APATA FEDHA KWENDA KUTIBIWA INDIA

Stori: Igenga Mtatiro, TARIME
MUNGU mkubwa! Ndiyo neno linaloweza kusemwa kwa  mrembo Zuhura Juma (27), mkazi wa Temeke jijini Dar anayesumbuliwa na uvimbe mguuni hatimaye Mungu amesikia maombi yake baada ya kupata msaada wa shilingi milioni 15 kutoka kwa Watanzania ambao waliochanga fedha hizo kwa ajili ya kwenda kutibiwa nchini India. Mrembo Zuhura Juma (27), mkazi wa Temeke jijini Dar anayesumbuliwa na uvimbe mguuni. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani