MUNGU MKUBWA, BANZA ATOKA HOSPITALI
Gladness mallya BAADA ya mwanamuziki wa Dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kulazwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar kwa siku saba, hatimaye ameruhusiwa kurejea nyumbani baada ya kupata nafuu. Mwanamuziki wa Dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone. Banza aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo, Jumatano iliyopita ambapo kwa mujibu wa kaka yake ana nafuu japokuwa bado hali si shwari kwani...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo05 Jun
BANZA TUNAMWACHIA MUNGU
Mwanamuziki Banza Stone
Banza kweli anaumwa, amedhohofika, amepoteza ubora wake wa afya ya mawazo, mwili na utimamu kwa jumla. Familia yake inaelezea kwamba kwa sasa angalau kidogo afya yake imeimarika, lakini kwa mtu uliyekuwa unamfahamu Banza, huwezi kukubaliana nao. Ni kwa jinsi anavyoonekana na kile anachokifanya au kukujibu.
UKIMWANGALIA mwanamuziki, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kuanzia juu mpaka chini, ukijumlisha na mambo anayozungumza yeye, yanayosemwa na familia yake pamoja na hali...
10 years ago
GPLBANZA TUMWACHIE MUNGU!
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Mbowe atoka hospitali
10 years ago
BBCSwahili10 Sep
Schumacher atoka hospitali
10 years ago
BBCSwahili14 Mar
Rais wa Zambia atoka hospitali
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Aboud Jumbe sasa atoka hospitali
10 years ago
Mwananchi01 Apr
Gwajima atoka hospitali, aachiwa kwa dhamana
10 years ago
Habarileo16 May
Aliyejifungua watoto 3 kliniki tofauti atoka hospitali
MKAZI wa kijiji cha Kisalala, Kata ya Laela wilayani Sumbawanga katika mkoa wa Rukwa, Lydia Shazi (29) ambaye alijifungua watoto watatu wote wa kiume kwa siku tatu katika hospitali mbili tofauti, ameruhusiwa na kurejea kwake akiwa na afya njema yeye na wanawe wote.
10 years ago
GPLMUNGU MKUBWA