MUNGU MKUBWA

Stori:  Imelda Mtema na Hamida Hassan INGAWAJE Said (38), mkazi wa Bagamoyo kwa Mtoro, Pwani ambaye aliteseka na uvimbe mkubwa usoni kwa miaka 12 sasa amepona baada ya kufanyiwa upasuaji katika Hospital ya CCBRT iliyopo jijini Dar. Kijana Said ambaye aliteseka na uvimbe mkubwa usoni sasa amepona baada ya kufanyiwa upasuaji katika Hospital ya CCBRT iliyopo jijini Dar. Akizungumza na waandishi wa habari hii, Ngawaje...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
KWELI MUNGU MKUBWA!
10 years ago
GPL
MAMA DIAMOND MUNGU MKUBWA!
11 years ago
GPL
AISHA MADINDA MUNGU MKUBWA!
10 years ago
GPL
MUNGU MKUBWA, BANZA ATOKA HOSPITALI
11 years ago
GPL
MUNGU MKUBWA APATA FEDHA KWENDA KUTIBIWA INDIA
10 years ago
VijimamboMKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU WA WASABATO WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAREKANI WATOTO WATENGEWA SEHEMU YAO.
11 years ago
GPLMUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA
10 years ago
Michuzi
MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE

10 years ago
Dewji Blog06 Jan
Kinana ahutubia mkutano mkubwa Tanga, awashukuru watanzania kuipatia CCM ushindi mkubwa uchaguzi serikali za mitaa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi nzima.
Kinana amesema maeneo yote ambayo upinzania wameshinda na ushindi uliosababishwa na baadhi ya wana CCM NA ENDAPO WATAGUNDULIKA WAMEFANYA KUSUDI KUKIKOSESHA USHINDI CHAMA WATAWAJIBISHWA.
Katibu Mkuu wa...