MAMA DIAMOND MUNGU MKUBWA!

Stori: Na Musa Mateja/Ijumaa Wikienda Thank you God! Neno pekee unaloweza kusema ni Mungu mkubwa baada ya kusikia taarifa kwamba mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’, amerejeshwa Bongo kutoka India ambapo afya yake imetengemaa, Ijumaa Wikienda lina kitu kamili. Mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MUNGU MKUBWA
10 years ago
GPL
KWELI MUNGU MKUBWA!
11 years ago
GPL
AISHA MADINDA MUNGU MKUBWA!
10 years ago
GPL
MUNGU MKUBWA, BANZA ATOKA HOSPITALI
10 years ago
Dewji Blog27 May
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamsin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar
Na Mwandishi Wetu
MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:
Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo...
10 years ago
Michuzi27 May
Mama wa Mitindo Asia Idarous Khamisin afiwa na Mama yake mkubwa Zanzibar

MBUNIFU mkongwe wa mavazi, Mama wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin amepata pigo kufuatia kufiwa na Mama yake mkubwa, Aliyefahamika kwa jina la Fatma Juma, Msiba uliotokea Kisiwa Ndui, Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa za msiba huo ambao hata hivyo tayari mazishi yake yamefanyika siku ya Jumatatu ya Mei 25, Kisiwa Ndui, na leo Jumatano ya Mei 27 wanatarajia kufanya kisomo maalum.
Ratiba ya Kisomo:Leo Jumatano ya Mei 27, saa 10, Alasiri wanatarajia kufanya kisomo maalum kwa wanawake wote...
11 years ago
GPL
MUNGU MKUBWA APATA FEDHA KWENDA KUTIBIWA INDIA
10 years ago
VijimamboMKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU WA WASABATO WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAREKANI WATOTO WATENGEWA SEHEMU YAO.