Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE

Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Mkubwa Fella ameweza kutoa zao la vijana wengine kutoka Mkubwa na Wanawe ambao wanafanya muziki wa Taarab na kuwabariki jina la Moyo Band, band hii imechanganya wanawake na wanaume na kwa mala ya kwanza itatambulishwa siku ya Ijumaa ya tarehe 11 pale Dar Live wakati Yamoto Band wakizindua Chupa lao jipya ambalo limefanyika SA Cheza kwa Madoido. Zaidi msikilize Saidi Fella Akielezea......

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Fella atambulisha kundi jipya kutoka Mkubwa na Wanawe, ni SALAMU TMK

fella3

Meneja mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Said Fella kabla mwaka 2015 haujaisha ametambulisha kundi jipya kutoka kwenye kituo chake cha Mkubwa na Wanawe.

fella3

Kundi hilo lenye vijana saba linaitwa Salamu TMK na tayari wameachia wimbo wao mpya ‘Nafsi’ pamoja na video yake.

“Vijana wetu wapya kutoka mkubwa na wanawe vijana wanaitwa #SALLAM TMK awa vijana wako saba tunawatoa mtaani wanaitaji kufika mjini na kupata nguvu binafsi ya kuthubutu kupata kununua mkate aya wadau ngoma ya vijana...

 

9 years ago

Bongo5

Said Fella amvuta Baby J Mkubwa na Wanawe

Said Fella ameamua kumchukua msanii kutoka visiwani Zanzibar, Baby J kwenye himaya yake ya Mkubwa na Wanawe. Meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale ambaye amekuwa akifanya kazi kwa kushirikiana na Fella ametoa taarifa hiyo kupitia Instagram. “Nipo na mkali wa kike pekee aliyebaki znz kwa kuona ujuzi wake mkubwa na wanawe imemchukua ili kulinda […]

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: YAMOTO BAND "MKUBWA NA WANAWE" ft. ZENA - MAMA (Download)




Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

10 years ago

Bongo5

PAPASO: Mimi ni mwanzilishi wa Yamoto Band na Mkubwa Fella — Mh. Temba

Inawezekana wewe ni shabiki wa Yamoto Band, lakini ukawa haufahamu kuwa Mh temba wa TMK Wanaume Family ni miongoni mwa watu waliowatengeneza vijana hao ambao mwaka huu wamefanikiwa kwenda Uingereza kufanya show kwa mara ya kwanza. Akizungumza kupitia kipindi cha Papaso cha TBC Fm kinachoongozwa na D’Jaro Arungu na kurushwa pia kupitia TBC 1, Temba […]

 

10 years ago

Vijimambo

Huu ndo ushauri aliopewa mkubwa Fella kuhusu kuwalinda yamoto band na wamama wa mjini.

kazi nzuri sana Mkubwa Felaaaa, ila muombe Mungu sana hawa watoto wasihadaike na mashangingi ya mjnii maana watakumalizia watoto, wamama wakianza yao tu, utaona vijana wako wamebadilika mara viburi, kuchelewa kazini, nk, omba sana ndugu maana nimeshasikia mdada mmoja kajivutia wake watuu wabayaaa jamani daah, ngoja tuendelee kufanya uchunguzi tuje na data kamili maana huwa hatutoi habari za uzushi, ila kama ni kweli wewe dada msanii unafanya hivyo acha, muachie mtoto wa watu jamaniii khaa si...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani