Fella atambulisha kundi jipya kutoka Mkubwa na Wanawe, ni SALAMU TMK
Meneja mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Said Fella kabla mwaka 2015 haujaisha ametambulisha kundi jipya kutoka kwenye kituo chake cha Mkubwa na Wanawe.
Kundi hilo lenye vijana saba linaitwa Salamu TMK na tayari wameachia wimbo wao mpya ‘Nafsi’ pamoja na video yake.
“Vijana wetu wapya kutoka mkubwa na wanawe vijana wanaitwa #SALLAM TMK awa vijana wako saba tunawatoa mtaani wanaitaji kufika mjini na kupata nguvu binafsi ya kuthubutu kupata kununua mkate aya wadau ngoma ya vijana...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Mkubwa Fella kwenye headlines za utambulisho wa kundi jipya Salamu TMK…(Video)
Mkurugenzi wa Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Said Fella time hii anakualika kuangalia video ya vijana wake wapya wapo saba ambao wanaunda kundi jipya lililopewa jina la Salamu TMK. Vijana hao wameachia video ya single yao mpya ya kwanza iitwayo NAFSI iliyotayarishwa na Pablo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? […]
The post Mkubwa Fella kwenye headlines za utambulisho wa kundi jipya Salamu TMK…(Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Global Publishers06 Jan
New Video: Salamu TMK (Mkubwa na Wanawe) ~ Nafsi
Salam TMK ni zao jingine kutoka katika Kituo cha Mkubwa na Wanawe na hii ni kazi yao ya kwanza kabisa ambayo imetengenezwa katika Studio za Mkubwa na Wanawe chini ya Producer Shirko wa Mkubwa na Wanawe.
Salamu TMK inajumla ya wasanii 8 kutoka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania. Sikiliza kazi hii inaitwa Nasfi.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-A7j6gcdY98s/Ve34INcjIuI/AAAAAAAAxOo/ReLT-uhGhVY/s72-c/IMG_6381.jpg)
MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE
![](http://2.bp.blogspot.com/-A7j6gcdY98s/Ve34INcjIuI/AAAAAAAAxOo/ReLT-uhGhVY/s640/IMG_6381.jpg)
9 years ago
Bongo501 Oct
Said Fella amvuta Baby J Mkubwa na Wanawe
9 years ago
Bongo514 Nov
Said Fella aanzisha makundi mapya, ‘Salam TMK’ na ‘Waswahili TikaTika’
![fella3](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/fella3-300x197.jpg)
Said Fella ameanzisha makundi mawili mapya ya muziki, ‘Salam TMK’ na ‘Waswahili TikaTika.’ kutoka Mkubwa na Wanae.
Fella ameiambia Bongo5 kuwa tayari vijana hao wameshaandaa kazi zao na zinatarajiwa kuanza kuonekana hivi karibuni.
“Licha ya kuwa na vijana 102, bendi itakuwa ni Yamoto tu, kila msanii nitakuwa namtoa kwa style yake,” amesema.
“Kuna kundi linaitwa Salam TMK hawa ni vijana kutoka Mkubwa na WanaWe, wapo wanane, hawa watakuwa wanaimba kama zamani ulivyokuwa unaona wanaimba TMK...
9 years ago
Bongo530 Dec
Video: Salamu TMK – Nafsi
![LEO-32444](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/LEO-32444-300x194.jpg)
Baada ya kutoka Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Said Fella time hii ameatambulisha vijana wake wapya wapo saba ambao wanaunda kundi jipya lililopewa jina la Salamu TMK. Vijana hao wameachia video ya single yao mpya ya kwanza inaitwa “NAFSI”, Video imengozwa na Pablo.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Michuzi06 Jan
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Mkubwa na Wanawe kuzindua bendi
KITUO cha kuvumbua vipaji cha Mkubwa na Wanawe cha Temeke, jijini Dar es Salaam kinatarajiwa kuzindua bendi yake ya muziki wa dansi. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Baby J atua ‘Mkubwa na Wanawe’
NA CHRISTOPHER MSEKENA
LICHA ya kuwa na kipaji msanii ni lazima uwe chini ya uongozi na usimamizi mzuri wa kazi zako ili uyafikie mafanikio, hii ameitambua msanii kutoka visiwani Zanzibar, Jamila Abdallah ‘Baby J’, mara baada ya kutangaza kuwa chini ya kituo cha Mkubwa na Wanawe.
Akizungumzia maamuzi yake hayo, Baby J, alisema kwa muda mrefu amekuwa akifanya kazi zake bila ya kuwa na uongozi kitu kilichompotezea muda na kuyachelewesha mafanikio yake licha ya kuwa na kipaji.
“Wasanii wote...