Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Video: Salamu TMK (Mkubwa na Wanawe) ~ Nafsi

Salam TMK ni zao jingine kutoka katika Kituo cha Mkubwa na Wanawe na hii ni kazi yao ya kwanza kabisa ambayo imetengenezwa katika Studio za Mkubwa na Wanawe chini ya Producer Shirko wa Mkubwa na Wanawe.

Salamu TMK inajumla ya wasanii 8 kutoka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania. Sikiliza kazi hii inaitwa Nasfi.

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Salamu TMK – Nafsi

LEO-32444

Baada ya kutoka Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Said Fella time hii ameatambulisha vijana wake wapya wapo saba ambao wanaunda kundi jipya lililopewa jina la Salamu TMK. Vijana hao wameachia video ya single yao mpya ya kwanza inaitwa “NAFSI”, Video imengozwa na Pablo.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Fella atambulisha kundi jipya kutoka Mkubwa na Wanawe, ni SALAMU TMK

fella3

Meneja mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Said Fella kabla mwaka 2015 haujaisha ametambulisha kundi jipya kutoka kwenye kituo chake cha Mkubwa na Wanawe.

fella3

Kundi hilo lenye vijana saba linaitwa Salamu TMK na tayari wameachia wimbo wao mpya ‘Nafsi’ pamoja na video yake.

“Vijana wetu wapya kutoka mkubwa na wanawe vijana wanaitwa #SALLAM TMK awa vijana wako saba tunawatoa mtaani wanaitaji kufika mjini na kupata nguvu binafsi ya kuthubutu kupata kununua mkate aya wadau ngoma ya vijana...

 

10 years ago

Michuzi

VIDEO YA MKUBWA NA WANAWE YAZINDULIWA MAISHA CLUB CHINI YA VODACOM TANZANIA

Mwanamuziki wa muziki wa bongo fleva Dogo Janja akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika ukumbi wa maisha club oysterbay jijini Dar es Salaam, wakati wa onyesho la Yamoto Bendi jana usiku wakati wa uzinduzi wa video yao ya “Mkubwa na Wanae” onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania. Waimbaji wanaounda kundi la “Yamoto Band”Aslay, Becka, Bella na Maromboso wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa video yao ya mkubwa na wanawe,uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club...

 

10 years ago

GPL

VIDEO YA MKUBWA NA WANAWE YAZINDULIWA MAISHA CLUB CHINI YA VODACOM TANZANIA‏

Mwanamuziki wa muziki wa bongo fleva  Dogo Janja akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika ukumbi wa maisha club oysterbay jijini Dar es Salaam, wakati wa onyesho la Yamoto Bendi jana usiku  wakati wa uzinduzi wa  video yao ya “Mkubwa na Wanae”  onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania.…

 

9 years ago

Michuzi

MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE

Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Mkubwa Fella ameweza kutoa zao la vijana wengine kutoka Mkubwa na Wanawe ambao wanafanya muziki wa Taarab na kuwabariki jina la Moyo Band, band hii imechanganya wanawake na wanaume na kwa mala ya kwanza itatambulishwa siku ya Ijumaa ya tarehe 11 pale Dar Live wakati Yamoto Band wakizindua Chupa lao jipya ambalo limefanyika SA Cheza kwa Madoido. Zaidi msikilize Saidi Fella Akielezea......

 

9 years ago

MillardAyo

Mkubwa Fella kwenye headlines za utambulisho wa kundi jipya Salamu TMK…(Video)

Mkurugenzi wa Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Said Fella time hii anakualika kuangalia video ya vijana wake wapya wapo saba ambao wanaunda kundi jipya lililopewa jina la Salamu TMK. Vijana hao wameachia video ya single yao mpya ya kwanza iitwayo NAFSI iliyotayarishwa na Pablo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? […]

The post Mkubwa Fella kwenye headlines za utambulisho wa kundi jipya Salamu TMK…(Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkubwa na Wanawe kuzindua bendi

KITUO cha kuvumbua vipaji cha Mkubwa na Wanawe cha Temeke, jijini Dar es Salaam kinatarajiwa kuzindua bendi yake ya muziki wa dansi. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani