VIDEO YA MKUBWA NA WANAWE YAZINDULIWA MAISHA CLUB CHINI YA VODACOM TANZANIA
Mwanamuziki wa muziki wa bongo fleva Dogo Janja akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika ukumbi wa maisha club oysterbay jijini Dar es Salaam, wakati wa onyesho la Yamoto Bendi jana usiku wakati wa uzinduzi wa video yao ya “Mkubwa na Wanae” onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania. Waimbaji wanaounda kundi la “Yamoto Band”Aslay, Becka, Bella na Maromboso wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa video yao ya mkubwa na wanawe,uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLVIDEO YA MKUBWA NA WANAWE YAZINDULIWA MAISHA CLUB CHINI YA VODACOM TANZANIA
9 years ago
Global Publishers06 Jan
New Video: Salamu TMK (Mkubwa na Wanawe) ~ Nafsi
Salam TMK ni zao jingine kutoka katika Kituo cha Mkubwa na Wanawe na hii ni kazi yao ya kwanza kabisa ambayo imetengenezwa katika Studio za Mkubwa na Wanawe chini ya Producer Shirko wa Mkubwa na Wanawe.
Salamu TMK inajumla ya wasanii 8 kutoka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania. Sikiliza kazi hii inaitwa Nasfi.
11 years ago
GPL18 Jun
9 years ago
MichuziMKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA IDD MOSI KUZINDUA CLUB MPYA YA MAISHA BASEMENT ZAMANI NEW MAISHA CLUB
10 years ago
Dewji Blog14 Jul
DC Makonda Idd Mosi kuzindua Club mpya ya Maisha Basement zamani New Maisha Club
Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya ‘Maisha Basement’ zamani New Club Maisha, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Club hiyo, Allan Ngugi na Meneja Uendeshaji wa Sam Kaliuki.
Mratibu...
10 years ago
MichuziMAKONDA KUZINDUA CLUB MPYA YA MAISHA BASEMENT ZAMANI NEW MAISHA CLUB
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Baby J atua ‘Mkubwa na Wanawe’
NA CHRISTOPHER MSEKENA
LICHA ya kuwa na kipaji msanii ni lazima uwe chini ya uongozi na usimamizi mzuri wa kazi zako ili uyafikie mafanikio, hii ameitambua msanii kutoka visiwani Zanzibar, Jamila Abdallah ‘Baby J’, mara baada ya kutangaza kuwa chini ya kituo cha Mkubwa na Wanawe.
Akizungumzia maamuzi yake hayo, Baby J, alisema kwa muda mrefu amekuwa akifanya kazi zake bila ya kuwa na uongozi kitu kilichompotezea muda na kuyachelewesha mafanikio yake licha ya kuwa na kipaji.
“Wasanii wote...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Mkubwa na Wanawe kuzindua bendi
KITUO cha kuvumbua vipaji cha Mkubwa na Wanawe cha Temeke, jijini Dar es Salaam kinatarajiwa kuzindua bendi yake ya muziki wa dansi. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...