Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDEO YA MKUBWA NA WANAWE YAZINDULIWA MAISHA CLUB CHINI YA VODACOM TANZANIA‏

Mwanamuziki wa muziki wa bongo fleva  Dogo Janja akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika ukumbi wa maisha club oysterbay jijini Dar es Salaam, wakati wa onyesho la Yamoto Bendi jana usiku  wakati wa uzinduzi wa  video yao ya “Mkubwa na Wanae”  onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VIDEO YA MKUBWA NA WANAWE YAZINDULIWA MAISHA CLUB CHINI YA VODACOM TANZANIA

Mwanamuziki wa muziki wa bongo fleva Dogo Janja akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika ukumbi wa maisha club oysterbay jijini Dar es Salaam, wakati wa onyesho la Yamoto Bendi jana usiku wakati wa uzinduzi wa video yao ya “Mkubwa na Wanae” onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania. Waimbaji wanaounda kundi la “Yamoto Band”Aslay, Becka, Bella na Maromboso wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa video yao ya mkubwa na wanawe,uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

MAZABE POWDER WATAMBA KUINGIA NUSU FAINALI YA DANCE 100% CHINI YA VODACOM TANZANIA‏

Kikundi cha Mazabe Powder cha kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,kinachoshiriki shindano la Dance 100% wakielekee mazoezini  kujindaa na  robofainali itakayofanyika Agosti  23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la Mazabe Powder la kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa robo fainali...

 

9 years ago

Global Publishers

New Video: Salamu TMK (Mkubwa na Wanawe) ~ Nafsi

Salam TMK ni zao jingine kutoka katika Kituo cha Mkubwa na Wanawe na hii ni kazi yao ya kwanza kabisa ambayo imetengenezwa katika Studio za Mkubwa na Wanawe chini ya Producer Shirko wa Mkubwa na Wanawe.

Salamu TMK inajumla ya wasanii 8 kutoka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania. Sikiliza kazi hii inaitwa Nasfi.

 

9 years ago

Michuzi

MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE

Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Mkubwa Fella ameweza kutoa zao la vijana wengine kutoka Mkubwa na Wanawe ambao wanafanya muziki wa Taarab na kuwabariki jina la Moyo Band, band hii imechanganya wanawake na wanaume na kwa mala ya kwanza itatambulishwa siku ya Ijumaa ya tarehe 11 pale Dar Live wakati Yamoto Band wakizindua Chupa lao jipya ambalo limefanyika SA Cheza kwa Madoido. Zaidi msikilize Saidi Fella Akielezea......

 

10 years ago

GPL

MTANDAO WA VODACOM KUTATUA TATIZO LA MAWASILIANO CHINI YA ARDHI‏

Tatizo la kupata mawasiliano ya simu kwenye vituo vya usafiri vilivyojengwa chini ya ardhi nchini Afrika Kusini limekuwa ni tatizo sugu kwa muda mrefu.Kituo maarufu cha Gautrain ambacho kimekuwa kikitumiwa na wasafiri wengi wakiwemo wanafunzi,wafanyakazi na watalii kwa muda mrefu tangia kifunguliwe mwaka 2010 kimekuwa kikikabiliwa na tatizo la mtandao ambao ulisababisha wasafiri wanaokitumia kituo hicho kushindwa kuwasiliana kwa...

 

10 years ago

GPL

FAINALI YA DANCE 100 J'MOSI CHINI YA VODACOM TANZANI‏

Meneja wa Uhusiano wa Umma  wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana juu ya fainali  ya mashindano hayo yatakayofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini. Kulia ni Mratibu wa shindano  hilo la Dance 100%, Happy Shame. Mratibu wa shindano la Dance 100%, Happy Shame ( kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam… ...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA IDD MOSI KUZINDUA CLUB MPYA YA MAISHA BASEMENT ZAMANI NEW MAISHA CLUB

 Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya 'Maisha Basement' zamani New Club Maisha pamoja na Maisha Club za Tanzania, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Miasha Club za Tanzania, Allan Ngugi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani