Said Fella aanzisha makundi mapya, ‘Salam TMK’ na ‘Waswahili TikaTika’
Said Fella ameanzisha makundi mawili mapya ya muziki, ‘Salam TMK’ na ‘Waswahili TikaTika.’ kutoka Mkubwa na Wanae.
Fella ameiambia Bongo5 kuwa tayari vijana hao wameshaandaa kazi zao na zinatarajiwa kuanza kuonekana hivi karibuni.
“Licha ya kuwa na vijana 102, bendi itakuwa ni Yamoto tu, kila msanii nitakuwa namtoa kwa style yake,” amesema.
“Kuna kundi linaitwa Salam TMK hawa ni vijana kutoka Mkubwa na WanaWe, wapo wanane, hawa watakuwa wanaimba kama zamani ulivyokuwa unaona wanaimba TMK...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo529 Dec
Fella atambulisha kundi jipya kutoka Mkubwa na Wanawe, ni SALAMU TMK

Meneja mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Said Fella kabla mwaka 2015 haujaisha ametambulisha kundi jipya kutoka kwenye kituo chake cha Mkubwa na Wanawe.
Kundi hilo lenye vijana saba linaitwa Salamu TMK na tayari wameachia wimbo wao mpya ‘Nafsi’ pamoja na video yake.
“Vijana wetu wapya kutoka mkubwa na wanawe vijana wanaitwa #SALLAM TMK awa vijana wako saba tunawatoa mtaani wanaitaji kufika mjini na kupata nguvu binafsi ya kuthubutu kupata kununua mkate aya wadau ngoma ya vijana...
10 years ago
Michuzi
MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE

10 years ago
Mwananchi16 May
Makundi mapya ya sanaa za maigizo yajirekebishe
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
Droo ya makundi ya Euro 2016 yafanyika, hii ndiyo listi kamili ya makundi hayo
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Chama cha Soka cha Ulaya kimefanya droo ya makundi ya mashindano ya Euro 2016 ambayo yanashirikisha nchi 24 kutoka Ulaya na yanatarajiwa kufanyika nchini Ufaransa kuanzia mwezi Juni mwakani. Modewjiblog imekuandalia listi kamili ya hatua hiyo ya makundi;
GROUP A;
Ufaransa
Romania
Albania
Switzerland
GROUP B;
Uingereza
Urusi
Wales
Slovakia
GROUP C;
Ujerumani
Ukraine
Poland
Northern Ireland
GROUP D;
Hispania
Jamhuri ya Czech
Uturuki
Croatia
GROUP E;
Belgium
Italia
Jamhuri...
11 years ago
GPL
Y-P WA TMK AFARIKI DUNIA
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Moro, TMK, Kinondoni zapeta
9 years ago
Bongo530 Dec
Video: Salamu TMK – Nafsi

Baada ya kutoka Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Said Fella time hii ameatambulisha vijana wake wapya wapo saba ambao wanaunda kundi jipya lililopewa jina la Salamu TMK. Vijana hao wameachia video ya single yao mpya ya kwanza inaitwa “NAFSI”, Video imengozwa na Pablo.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
Mwananchi04 Mar
Mfuasi wa Zitto aanzisha chama