Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfuasi wa Zitto aanzisha chama

 Chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimeanzishwa na kupewa usajili wa muda huku kikitamba kuwa mbadala wa vyama vyote vilivyopo sasa kwa maelezo kuwa vimekosa demokrasia ya kweli.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ASHIRIKI MAZISHI YA MFUASI WA CHAMA CHA CUF ALIEFARIKI KWA AJALI, UNGUJA

Na: Khamis Haji (OMKR)
Katibu Mkuu wa CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amehudhuria mazishi ya Hemed Salum Hemed (38) aliyefariki katika ajali ya barabarani iliyotokea wakati akirudi katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.
Marehemu ambaye ni mkaazi wa Kinuni, Wilaya ya Magharibi Unguja amesaliwa katika Msikiti Ngamia, Kilimahewa na kuzikwa Kianga, mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Aidha, Maalim Seif amewatembelea na kuwawafariji baadhi ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Zitto: ACT hatuna uadui na chama chochote

ZITTO NA AGATHA CHARLES
KIONGOZI Mkuu wa chama cha ACT- Tanzania Zitto Kabwe amesema hawana uadui na chama chochote, bali tatizo ni mfumo uliopo.
Zitto aliyasema hayo jana katika ukumbi wa St. Peter’s Cardinal Rugambwa Osterbay Dar es Salaam, baada ya kumalizika kutangazwa matokeo ya nafasi za juu za uongozi ndani ya chama hicho.
Alisema wanachama na viongozi wa ACT wanapaswa kuingia msituni na kufyeka kwa ajili ya kukijenga chama hicho na si kupoteza muda kwa kugombana na wengine.
“Hatuna uadui...

 

10 years ago

Mwananchi

Chama cha ACT chamwandalia Zitto makazi

>Pamoja na mpango wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kuliaga Bunge kukwama jana, Chama cha ACT- Tanzania kimetangaza kukamilisha maandalizi ya kumpokea mwanasiasa huyo kuanzia leo.

 

10 years ago

Vijimambo

SIKU ZITTO ALIPOJIUNGA NA CHAMA CHA ACT TAWI LA TAGETA

Mhe. Ziti Kobwe akiwasili katika viwanja wa Ofisi ya Chama cha ACT Tawi la Tegeta kwa ajili ya kujiunga rasmin na Chama hicho na kukabidhiwa Kadi yake ya Uwanachama. Mhe Kabwe akijaza Fomu yake ya kujiunga na Chama cha ACT alipowasili katika Tawi la ACT Tegeta jana. ili kujiunga rasmin na Chama hicho. Wanachama wa Chama cha ACT wakimshindikiza Mhe Kabwe alipofika katika Tawi la ACT Tegeta kujiunga na Chama hicho wakiwa katika Ofisi hizo huko Tegeta.Mhe Kabwe akilipa Ada ya Uanachama wakati...

 

10 years ago

GPL

CHAMA CHA ACT - TANZANIA CHAKANUSHA KUMILIKIWA NA ZITTO KABWE

ACT-TANZANIA
ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPERANCY
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu wanahabari kumekuwa na utaratibu wa habari zinazoupotosha umma wa Watanzania kuhusu chama chetu cha ACT-Tanzania. Katika gazeti la mwanahabari toleo na 117 la tarehe 29/09/2014 katika ukurasa wake wa mbele iliandikwa "MKAKATI WA KUKIPA NGUVU CHAMA CHA KIPYA CHA ZITTO KABWE WAVUJA". Act-Tanzania tunaeleza kuwa ni chama cha Watanzania wote...

 

10 years ago

GPL

ZITTO KABWE ACHAGULIWA KUWA MKUU WA CHAMA CHA ACT TANZANIA

Kiongozi mpya wa chama cha ACT Tanzania, Zitto Kabwe akionyesha alama ya chama ambayo ni "Uwazi" baada ya kuchaguliwa.      Zitto akihutubia wajumbe.                 Zitto akihutubia wajumbe wakati wa uchaguzi huo.…

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI-ZITTO ZUBERI KABWE(KIONGOZI WA CHAMA ACT-WAZALENDO) @ACTWazalendo

TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI  LA NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE (KIONGOZI WA CHAMA ACT-WAZALENDO) KWA MUJIBU WA KATIBA YA ACT-WAZALENDO

WEALTH DECLARATION FORMS FOR ZITTO ZUBERI KABWE-PARTY LEADER ACT-WAZALENDO

View this document on Scribd

 

10 years ago

Michuzi

KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, ZITTO KABWE AWAHUTUBIA WAKAZI WA MKOA WA TABORA


4Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.2Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Samson Mwigamba,  akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.3Mwenyekiti wa Chama cha...

 

10 years ago

Michuzi

KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, ZITTO KABWE, AWAHUTUBI WAKAZI WA MJI WA MPANDA


001Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahutubi wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara za kutambulisha viongozi wake. 002mail.google.comMwanaharakati na Mshauri wa chama cha ACT Wazalendo, Mama Terry, akiwahutubia wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi jana, ambapo chama hicho kinaendelea  na ziara ya kutambulisha viongozi wake.003

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani