Moro, TMK, Kinondoni zapeta
Timu tisa zinashiriki michuano ya Kombe la Taifa ambayo Ijumaa itachezwa hatua ya nusu fainali Dar es Salaam. Timu za Morogoro, wenyeji Temeke na Kinondoni zimefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya Kombe la Taifa ya Netiboli inayoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
TMK, Moro fainali Taifa Cup leo
MABINGWA watetezi, Temeke na Morogoro wamefanikiwa kutinga fainali ya Chaneta Taifa Cup itakayopigwa leo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Temeke imefanikiwa kucheza fainali baada ya kuifunga Kinondoni 63-36...
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Spurs, Leicester zapeta Epl
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Yanga,Simba,Azam zapeta
9 years ago
BBCSwahili20 Aug
Valencia, Celtic na Shaktar zapeta
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Azam, City zapeta, Simba mh!
9 years ago
Bongo504 Dec
Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo
![Belle99](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/09/Belle99-300x194.jpg)
Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.
What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya
— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015
Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...
11 years ago
Mwananchi10 Jun
West Zone, East zapeta Bball
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Njombe, Arusha zapeta, mingi yashindwa