Njombe, Arusha zapeta, mingi yashindwa
Ikiwa kesho ni siku ya mwisho kwa mikoa kutekeleza agizo la Rais Jakaya Kikwete la ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari nchini, baadhi ya mikoa imetekeleza agizo hilo kwa asilimia 95 wakati mingine imetimiza kwa asilimia kati ya 30 na 50 na mingine ina asilimia sifuri.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-rK1VaY_EFGI/VeNpEL0ZFlI/AAAAAAAH1Dw/l8iu0v-1eeo/s72-c/_MG_9335.jpg)
MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA NDANI YA WILAYA YA NJOMBE MKOANI NJOMBE.
![](http://2.bp.blogspot.com/-rK1VaY_EFGI/VeNpEL0ZFlI/AAAAAAAH1Dw/l8iu0v-1eeo/s640/_MG_9335.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-zAT65H3Am_E/VeNpGtatB2I/AAAAAAAH1D4/FBH4SCVozZM/s640/_MG_9451.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-K6dpwzuXxpo/VeNojq8T0kI/AAAAAAAH1DQ/VgfvkNY33tI/s640/_MG_9275.jpg)
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
9 years ago
BBCSwahili20 Aug
Valencia, Celtic na Shaktar zapeta
Valencia, Celtic , Shaktar zapeta mchujo kuwania tiketi ya kuingia hatua ya makundi katika michuano ya klabu bigwa Ulaya
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Spurs, Leicester zapeta Epl
Wakicheza ugenini katika dimba la light, timu ya soka ya Tottenham imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Sunderland
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Moro, TMK, Kinondoni zapeta
Timu tisa zinashiriki michuano ya Kombe la Taifa ambayo Ijumaa itachezwa hatua ya nusu fainali Dar es Salaam. Timu za Morogoro, wenyeji Temeke na Kinondoni zimefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya Kombe la Taifa ya Netiboli inayoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Azam, City zapeta, Simba mh!
Dar es Salaam. Azam na, Mtibwa zimeendelea kung’ara katika Ligi Kuu Tanzania Bara, wakati Simba ikisuasua baada ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 na Polisi Morogoro jana.Azam imepanda kileleni mwa ligi baada ya kuichapa Ruvu
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Yanga,Simba,Azam zapeta
Vigogo wa soka nchi Tanzania Yanga, Simba pamoja na Azam FC wamendeleza wimbi la ushindi katika michezo ya ligu kuu
11 years ago
Mwananchi10 Jun
West Zone, East zapeta Bball
Timu za West Zone 3 Kinondoni na East Zone 4 ya Temeke zimeibuka na ushindi katika mechi za mashindano ya kikapu ya Sprite Bball Kitaa zilizofanyika kwenye viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam juzi.
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Simba, Yanga zapeta Rolling Stone Dar
Timu za vijana za Simba, Yanga na Mtibwa Sugar zimetinga hatua ya 16 bora ya michuano ya vijana walio na umri chini ya miaka 15 na 20 ya Rolling Stone inayoendelea kwenye viwanja vitatu tofauti jijini Dar es Salaam.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania