Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DOWNLOAD: CHEZA KIMADOIDO (NEW) - MKUBWA NA WANAWE "YAMOTO BAND"






africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: YAMOTO BAND "MKUBWA NA WANAWE" ft. ZENA - MAMA (Download)




Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

MillardAyo

Pichaz 10 za show ya Yamoto Band ndani ya Mombasa Kenya, mashabiki walivyochezeshwa kimadoido …

Yamoto Band baada ya kusambaza upendo wa burudani pange za Geita, Mwanza, Songea, Mbinga na Mbambabay, usiku wa mkesha mwaka mpya yaani December 31 walioamua kwenda kutoa burudani ya nguvu kwa majirani zao wa Kenya. Yomoto Band walidondosha burudani pande za Mombasa Kenya. Yamoto walipiga show ya hit singles zao zote na kuukaribisha mwaka mpya […]

The post Pichaz 10 za show ya Yamoto Band ndani ya Mombasa Kenya, mashabiki walivyochezeshwa kimadoido … appeared first on...

 

9 years ago

Michuzi

MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE

Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Mkubwa Fella ameweza kutoa zao la vijana wengine kutoka Mkubwa na Wanawe ambao wanafanya muziki wa Taarab na kuwabariki jina la Moyo Band, band hii imechanganya wanawake na wanaume na kwa mala ya kwanza itatambulishwa siku ya Ijumaa ya tarehe 11 pale Dar Live wakati Yamoto Band wakizindua Chupa lao jipya ambalo limefanyika SA Cheza kwa Madoido. Zaidi msikilize Saidi Fella Akielezea......

 

9 years ago

Bongo5

Video ya Yamoto Band ‘Cheza Kwa Madoido’ kutambulishwa MTV Base (Sept 2)

Miongoni mwa sabaabu ambazo wasanii wa Tanzania huzitoa wanapoamua kwenda kufanya video na madirector wa nje, moja wapo huwa ni kupata connection ya video zao kuchezwa katika vituo vya kimataifa. Yamoto Band pia wanaingia kwenye orodha ya wasanii wa Bongo ambao video zao zinaoneshwa na kituo cha MTV Base. Video yao ‘Cheza Kwa Madoido’ iliyoongozwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani