Video ya Yamoto Band ‘Cheza Kwa Madoido’ kutambulishwa MTV Base (Sept 2)
Miongoni mwa sabaabu ambazo wasanii wa Tanzania huzitoa wanapoamua kwenda kufanya video na madirector wa nje, moja wapo huwa ni kupata connection ya video zao kuchezwa katika vituo vya kimataifa. Yamoto Band pia wanaingia kwenye orodha ya wasanii wa Bongo ambao video zao zinaoneshwa na kituo cha MTV Base. Video yao ‘Cheza Kwa Madoido’ iliyoongozwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
GPL14 Sep
9 years ago
Bongo521 Nov
Video ya Shaa ‘Toba’ iliyoongozwa na Campos kutambulishwa na MTV Base Jumatatu Nov.23

Ile video mpya ya Shaa aka Malkia wa Uswazi, ‘Toba’ aliyoshoot na muongozaji Justin Campos wa Afrika Kusini na kukaa nayo ndani kwa muda mrefu, sasa itatambulishwa Jumatatu ya November 23.
Video hiyo itaoneshwa kwa mara ya kwanza na kituo cha MTV Base kupitia segement yao ya kutambulisha video mpya ‘Spanking New’, saa 12 za jioni saa za Afrika Mashariki.
Wimbo na video hiyo ni muendelezo wa kazi za Shaa kwenye mkataba wake na Said Fella pamoja na Babu Tale ambao pia ndio walihusika na...
9 years ago
Bongo510 Nov
Video ya wimbo mpya wa Joh Makini ft. AKA ‘Don’t Bother’kutambulishwa MTV Base (Nov.10)

Baada ya Nikki Wa Pili wa Weusi kutambulisha wimbo wake mpya ‘Baba Swalehe’ Ijumaa iliyopita, sasa ni zamu ya kaka yake Joh Makini kuwaonesha mashabiki wake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla kile alichoenda kufanya Afrika Kusini miezi kadhaa iliyopita.
Video ya wimbo mpya wa Joh Makini aliomshirikisha rapper wa Afrika Kusini ‘AKA’ itatambulishwa kwa mara ya kwanza leo (Nov. 10) saa 12 jioni (saa za Afrika Mashariki) na kituo cha kimataifa cha MTV Base.
‘Don’t Bother’ imetayarishwa na...
10 years ago
GPL
YAMOTO BAND WATINGA GLOBAL, TAYARI KWA MADOIDO NIGHT
10 years ago
Bongo523 Apr
Video mpya ya Joh Makini ‘Nusu Nusu’ kutambulishwa ‘Exclusive’ na MTV Base Ijumaa (April 24)
9 years ago
Bongo517 Dec
Wimbo mpya wa Chege aliomshirikisha Runtown wa Nigeria kutambulishwa leo (Dec.17) na MTV Base

Ni muda mrefu umepita toka msanii kutoka TMK, Chege Chigunda aanze kuzunguzia kuwa anafanya collabo na msanii wa Nigeria, Runtown na Uhuru wa Afrika Kusini – Sweety Sweety, na hatimaye sasa video ya wimbo huo iliyofanyika Afrika Kusini hivi karibuni itatambulishwa kwa mara ya kwanza kupitia MTV Base.
Video hiyo iliyoongozwa na Justin Campos wa Gorilla Films itaoneshwa kwenye Spanking New ya MTV Base Ahamisi Dec. 17, 2015 saa 12 jioni (saa za Afrika Mashariki).
Chege anaongezeka kwenye...