Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BANZA TUNAMWACHIA MUNGU


Mwanamuziki Banza Stone 
Banza kweli anaumwa, amedhohofika, amepoteza ubora wake wa afya ya mawazo, mwili na utimamu kwa jumla. Familia yake inaelezea kwamba kwa sasa angalau kidogo afya yake imeimarika, lakini kwa mtu uliyekuwa unamfahamu Banza, huwezi kukubaliana nao. Ni kwa jinsi anavyoonekana na kile anachokifanya au kukujibu.
UKIMWANGALIA mwanamuziki, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kuanzia juu mpaka chini, ukijumlisha na mambo anayozungumza yeye, yanayosemwa na familia yake pamoja na hali...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BANZA TUMWACHIE MUNGU!

Gladness Mallya na hamida hassan
Ugua pole! Hali ya mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ ni ya kumwachia Mungu kwani bado ni tete na watu wamekuwa wakimiminika kwa ajili ya kumuona katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar alikolazwa. Mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ akiwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar alikolazwa. Ijumaa Wikienda lilitia...

 

10 years ago

GPL

MUNGU MKUBWA, BANZA ATOKA HOSPITALI

Gladness mallya
BAADA ya mwanamuziki wa Dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kulazwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar kwa siku saba, hatimaye ameruhusiwa kurejea nyumbani baada ya kupata nafuu. Mwanamuziki wa Dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone. Banza aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo, Jumatano iliyopita ambapo kwa mujibu wa kaka yake ana nafuu japokuwa bado hali si shwari kwani...

 

11 years ago

GPL

MUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA‏

Elisha Bahunde akiwa chumba # 8 ghorofa ya 6 alipolazwa tangia siku ya Jumatano Feb 19, 2014 alipoletwa Maryland kwa matibabu zaidi
Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.…

 

5 years ago

CCM Blog

KANISA HALISI LA MUNGU BABA LINAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE HIJA YA CHANZO HALISI CHA MUNGU BABA, MJINI KIGOMA 26 THEBETI,1(26 APRILI,2020)

KWA NINI  HIJA MOJA HALISI IKO KIGOMA?
Sauti Mpya(2019) ambayo imetangaza kuwa Tanzania ni Taifa Baba ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo imetangaza kuwa Afrika ni Bara la Nuru ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya zile Sauti Saba ilisikika Kigoma-Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya ishara tatu mbinguni (Ufunuo 12:1-9) ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya Nafsi ya Moyo (Miungu tisa mitakatifu iliyofafanuliwa ndani ya Kitabu) ilisikika...

 

11 years ago

GPL

BANZA ARUDIA MITUNGI

STAA mkubwa wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani Masanja ‘Banza stone’ ambaye anasifika kwa ulevi wa kupindukia na hivi karibuni aliripotiwa kuacha, inadaiwa amerejea tena, safari hii kwa kiwango cha kutisha. Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’ alipokuwa akihojiwa na Global TV Online.
Chanzo makini kutoka ndani ya familia ya mwanamuziki huyo anayefanya kazi na bendi ya Extra Bongo, kimeliambia gazeti...

 

11 years ago

GPL

BANZA AMLILIA PAPII KOCHA

LEGENDARY wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja 'Banza Stone' amefunguka kuwa anamkumbuka Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kwani alikuwa kama mdogo wake kwenye gemu. Ramadhan Masanja 'Banza Stone'. Akizungumza na Global TV Online ambayo itarusha mahojiano yake leo, Banza alisema alikuwa akimtazama Papii kama chimbuko la dansi ambalo litaleta mapinduzi hivyo kufungwa kwake kumempotezea ndoto zake.… ...

 

10 years ago

GPL

BANZA: MNANIUA SANA JAMANI

Gladness Mallya BAADA ya uvumi kuzagaa mtaani kwamba mwanamuziki wa dansi, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia, Banza amesema amechoshwa na watu kumuua sana.Baada ya uvumi huo, ndugu zake wamesema watu waache kumuua kwa maneno kwani bado yupo hai.. .....Soma zaidi hapa===>http://bit.ly/1NeHOJE

 

10 years ago

Vijimambo

BANZA STONE AMEFARIKI DUNIA


Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama ‘Banza stone’ amefariki dunia nyumbani kwao hivi punde baada ya kuugua kwa muda mrefu.R.I.P Banza Stone

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani