Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BANZA STONE AMEFARIKI DUNIA


Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama ‘Banza stone’ amefariki dunia nyumbani kwao hivi punde baada ya kuugua kwa muda mrefu.R.I.P Banza Stone

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News…Msanii wa muziki wa dansi Banza Stone amefariki dunia!

IMG_8689

 

Chanzo kupitia akaunti ya twitter ya Power breakfast ya Clouds radio.

Taarifa zaidi hapo baadae kidogo, Modewjiblog inafanya mawasiliano na ndugu wa karibu wa marehemu Banza Stone.

 

10 years ago

Bongo5

Banza Stone afariki dunia (Details)

Muimbaji wa muziki wa dansi aliyewahi kutamba akiwa na bendi mbalimbali zikiwemo Twanga Pepeta na TOT Band, Ramadhan Masanja maarufu kama Banza Stone amefariki dunia mchana wa Ijumaa, July 17. Banza alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Taarifa kuhusu kifo chake zimethibitishwa na kaka yake pamoja na mmiliki wa Twanga Pepeta, […]

 

10 years ago

GPL

SIMANZI: MWANAMUZIKI BANZA STONE AFARIKI DUNIA

Staa wa Muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia mchana huu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kaka wa marehemu aitwaye Hamis amethibisha msiba huo.

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: BANZA STONE AFARIKI DUNIA LEO

Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama 'Banza stone' amefariki dunia nyumbani kwao  eneo la Sinza Kijiweni,jijini Dar hivi punde baada ya kuugua kwa muda mrefu.R.I.P Banza Stone.

CHANZO: EAST AFRIKA RADIO

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BANZA STONE AFARIKI DUNIA MCHANA HUU

Taarifa iliyotufikia chumba cha habari cha Globu ya Jamii hivi punde, inaeleza kuwa Mwanamuziki wa siku nyingi wa Muziki wa Dansi hapa nchini, Ramadhan Masanja "Banza Stone" amefariki dunia mchana huu nyumbani kwao Sinza karibu na Lion Hotel jijini Dar es salaam.
TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA BAADAE KIDOGO.

 

10 years ago

GPL

BANZA STONE KUOA KIMYAKIMYA

Stori: Gladness Mallya
MWANAMUZIKI wa bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza stone’ amefunguka kwamba ndoa yake itafanyika kimyakimya na hakuna msanii atakayeshiriki. Mwanamuziki wa bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza stone’. Akipiga stori na gazeti hili, Banza alisema ndoa yake haitakuwa na michango, kwani atamuita sheikh na watoto wa madrasa kwa ajili ya kupiga dufu, huku mama yake...

 

11 years ago

GPL

LINI BANZA STONE UTATUHURUMIA?

Mwanamuziki Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’. RAMADHANI Masanja ‘Banza Stone’ ni mwanamuziki mkubwa wa muziki wa dansi la kileo. Dansi la kileo ninamaanisha hili linalopigwa na bendi zinazochombeza na sebene za Kikongo. Sina uhakika sana, lakini sidhani kama itakuwa sahihi kwa shabiki wa muziki huu, kumuondoa Le General katika Tatu Bora, kama ataamua kuwapanga mastaa wake kwa namba, kutokana na uwezo...

 

10 years ago

GPL

DAKTARI AANIKA UGONJWA WA BANZA STONE

Gladness Mallya/ijumaawikienda
Inasikitisha sana! Huku akitundikiwa dripu nyumbani kwao, Sinza ya Vatican jijini Dar, daktari ameanika ugonjwa unaomtesa staa wa muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kuwa vipimo vinaonesha anashambuliwa na fangasi kichwani (ubongo) na shingoni. Staa wa muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’. YU HOI TENA
Habari zinaeleza kuwa tatizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani