BANZA STONE KUOA KIMYAKIMYA

Stori: Gladness Mallya MWANAMUZIKI wa bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza stone’ amefunguka kwamba ndoa yake itafanyika kimyakimya na hakuna msanii atakayeshiriki. Mwanamuziki wa bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza stone’. Akipiga stori na gazeti hili, Banza alisema ndoa yake haitakuwa na michango, kwani atamuita sheikh na watoto wa madrasa kwa ajili ya kupiga dufu, huku mama yake...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
BANZA STONE AMEFARIKI DUNIA

Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama ‘Banza stone’ amefariki dunia nyumbani kwao hivi punde baada ya kuugua kwa muda mrefu.R.I.P Banza Stone
11 years ago
GPL
LINI BANZA STONE UTATUHURUMIA?
10 years ago
GPL
BANZA STONE: UGONJWA HUU UTANIUA!
10 years ago
Vijimambo
BANZA STONE YUKO 'MAHUTUTI' TUNDUMA

Kwanini Tunduma? Bendi yao ya Rungwe ilikuwa na ziara katika miji kadhaa ya...
10 years ago
GPL
BANZA STONE AZIKWA JIJINI DAR
10 years ago
Bongo517 Jul
Banza Stone afariki dunia (Details)
10 years ago
Michuzi
Safari ya Mwisho ya Mwanamuziki Banza Stone

10 years ago
GPL
DAKTARI AANIKA UGONJWA WA BANZA STONE