Safari ya Mwisho ya Mwanamuziki Banza Stone

Mamia ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ramadhan Masanja "Banza Stone" wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi kwenye Makaburi ya Sinza, Jijini Dar es salaam alasiri hii.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
GPL
SIMANZI: MWANAMUZIKI BANZA STONE AFARIKI DUNIA
Staa wa Muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia mchana huu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kaka wa marehemu aitwaye Hamis amethibisha msiba huo.
10 years ago
Michuzi
Mama Salma Kikwete ajiunga na waombolezaji kwenye msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja Banza Stone aliyezikwa jijini Dar es salaam



10 years ago
Vijimambo
Mama Salma Kikwete ajiunga na waombolezaji kwenye msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja Banza Stone aliyezikwa leo jijini Dar es salaam

10 years ago
GPL18 Jul
10 years ago
GPL
MAMA SALMA KIKWETE AJIUNGA NA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WA MWANAMUZIKI RAMADHANI MASANJA BANZA STONE ALIYEZIKWA JANA JIJINI DAR ES SALAAM
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika alipowasili kujiunga na familia na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja "Banza Stone" Sinza Lion jijini Dar es salaam jana Jumamosi Julai 18, 2015.  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete…
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
GPL
BANZA STONE KUOA KIMYAKIMYA
Stori: Gladness Mallya
MWANAMUZIKI wa bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza stone’ amefunguka kwamba ndoa yake itafanyika kimyakimya na hakuna msanii atakayeshiriki. Mwanamuziki wa bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza stone’. Akipiga stori na gazeti hili, Banza alisema ndoa yake haitakuwa na michango, kwani atamuita sheikh na watoto wa madrasa kwa ajili ya kupiga dufu, huku mama yake...
11 years ago
GPL
LINI BANZA STONE UTATUHURUMIA?
Mwanamuziki Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’. RAMADHANI Masanja ‘Banza Stone’ ni mwanamuziki mkubwa wa muziki wa dansi la kileo. Dansi la kileo ninamaanisha hili linalopigwa na bendi zinazochombeza na sebene za Kikongo. Sina uhakika sana, lakini sidhani kama itakuwa sahihi kwa shabiki wa muziki huu, kumuondoa Le General katika Tatu Bora, kama ataamua kuwapanga mastaa wake kwa namba, kutokana na uwezo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania