BANZA STONE YUKO 'MAHUTUTI' TUNDUMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-OpEEdJwbltg/VMPyrYWZ_XI/AAAAAAADWXQ/_6QZRr7o4oE/s72-c/CHOKI34.jpg)
wasamaria wema wamuuguza, taratibu za kumrejesha Dar zaandaliwaWalikwenda mkoani Mbeya na bendi yao Rungwe Music Band (zamani Wana Extra), bendi ikasambaratikia huko kila mtu akarejea Dar na hamsini zake, Banza akaamua kwenda Tunduma na huko ndiko balaa lilipomkumba.Pengine bado uko kizani. Ni kwamba mwanamuziki nyota wa dansi Ramadhani Masanja “Banza Stone” yuko hoi mjini Tunduma na hana huduma yoyote ya kimatibabu.
Kwanini Tunduma? Bendi yao ya Rungwe ilikuwa na ziara katika miji kadhaa ya...
Vijimambo