Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BANZA ARUDIA MITUNGI

STAA mkubwa wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani Masanja ‘Banza stone’ ambaye anasifika kwa ulevi wa kupindukia na hivi karibuni aliripotiwa kuacha, inadaiwa amerejea tena, safari hii kwa kiwango cha kutisha. Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’ alipokuwa akihojiwa na Global TV Online.
Chanzo makini kutoka ndani ya familia ya mwanamuziki huyo anayefanya kazi na bendi ya Extra Bongo, kimeliambia gazeti...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Jackline Wolper arudia dini yake

MIEZI michache baada ya kuapa kwamba hatobadilisha tena dini kwa kwani kwa kufanya hivyo, ni sawa na kumchezea Mungu, mwigizaji mwenye nyota kali, Jackline Wolper, ameshindwa kusimamia kiapo hicho na...

 

10 years ago

GPL

KAJALA AJUTA KUPIGA MITUNGI

Stori: Imelda Mtema KAJALA Masanja, amefunguka kuwa anajuta kunywa pombe baada ya kumsababishia maumivu makali hivi karibuni. Msanii wa Muvi Bongo Kajala Masanja Kajala ambaye anakimbiza kunako anga la filamu Bongo, amesema anasumbuliwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo sasa siku hiyo alikunywa sana pombe na kujikuta akipata maumivu makali tumboni.
“Najuta mwenzenu siku ile kunywa pombe maana maumivu niliyoyapata...

 

11 years ago

GPL

JOHARI APIGA MITUNGI KWA FUJO

Stori: Shani Ramadhani
STAA wa kitambo kwenye filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amenaswa akipiga mitungi kwa sana ikiwa ni sehemu ya kufurahia uongozi mpya wa Klabu ya Bongo Movie Unity. Blandina Chagula ‘Johari’. Tukio hilo lilitokea wikiendi iliyopita katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar ambapo uchaguzi wa safu mpya ya uongozi wa klabu hiyo ulimalizika na matokeo kuwatangaza...

 

11 years ago

GPL

RIYAMA NJIA PANDA KWA MITUNGI

Stori: Erick Evarist Mh! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Riyama Ally, amejikuta akiwa njia panda baada ya kutakiwa kunywa pombe ya kienyeji aina ya ugimbi ambayo hajawahi kunywa maishani mwake. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Riyama Ally. Riyama aliingia kwenye mtihani huo juzikati pande za Songea alipokuwa amekwenda kikazi ambapo alitakiwa kunywa pombe hiyo kutokana na matakwa ya filamu lakini akashindwa. “Ulikuwa...

 

10 years ago

GPL

MAYA APIGWA MAOMBI, AZUIWA MITUNGI

Stori: Imelda Mtema
MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amezuiwa kunywa pombe baada ya kuangushiwa maombi mazito na kushauriwa kubadilika kitabia. Muigizaji wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, juzikati Maya alifika katika kanisa moja lililopo Mbezi jijini Dar na kuombewa kisha mchungaji wa kanisa hilo akamzuia kunywa pombe....

 

10 years ago

GPL

WEMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YAKE KWA MITUNGI

Staa wa filamu Bongo ambaye ni Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu akisherehekea bethidei yake Septemba 28, 2014 nyumbani kwake Kijitonyama, Dar!

 

10 years ago

Vijimambo

BANZA TUNAMWACHIA MUNGU


Mwanamuziki Banza Stone 
Banza kweli anaumwa, amedhohofika, amepoteza ubora wake wa afya ya mawazo, mwili na utimamu kwa jumla. Familia yake inaelezea kwamba kwa sasa angalau kidogo afya yake imeimarika, lakini kwa mtu uliyekuwa unamfahamu Banza, huwezi kukubaliana nao. Ni kwa jinsi anavyoonekana na kile anachokifanya au kukujibu.
UKIMWANGALIA mwanamuziki, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kuanzia juu mpaka chini, ukijumlisha na mambo anayozungumza yeye, yanayosemwa na familia yake pamoja na hali...

 

10 years ago

GPL

BANZA TUMWACHIE MUNGU!

Gladness Mallya na hamida hassan
Ugua pole! Hali ya mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ ni ya kumwachia Mungu kwani bado ni tete na watu wamekuwa wakimiminika kwa ajili ya kumuona katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar alikolazwa. Mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ akiwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar alikolazwa. Ijumaa Wikienda lilitia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani