JOHARI APIGA MITUNGI KWA FUJO
![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD--UtKuQaiXHUc1X4OLrQSKNBRmFDyeeh8mt2GzNeGYyGU1yEjdE5kOScgK1pH4disTNUgmJHCwkXzgterf9P9so/johari.jpg?width=650)
Stori: Shani Ramadhani STAA wa kitambo kwenye filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amenaswa akipiga mitungi kwa sana ikiwa ni sehemu ya kufurahia uongozi mpya wa Klabu ya Bongo Movie Unity. Blandina Chagula ‘Johari’. Tukio hilo lilitokea wikiendi iliyopita katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar ambapo uchaguzi wa safu mpya ya uongozi wa klabu hiyo ulimalizika na matokeo kuwatangaza...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2NIRIKy1O8G084T-acCbh5rgtS*wVPhl5ixHsYDk6IZO4HtqYR-*08jthIM0Zq2t9H2uQ4jtvr6vohJhec0HuXD/riyama.jpg?width=650)
RIYAMA NJIA PANDA KWA MITUNGI
10 years ago
GPL29 Sep
WEMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YAKE KWA MITUNGI
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili
PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.
Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.
“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gArkKqgBaiI/U2lDXBJdBOI/AAAAAAAFf78/6HbREOmldu4/s72-c/POLISI+LOGO+-+Copy.jpg)
34 MBARONI KWA KUFANYA FUJO NA KUHARIBU MALI KIBAIGWA NA WENGINE WATATU (3) KWA KULIMA BANGI HEKARI SITA NA NUSU MKOANI DODOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-gArkKqgBaiI/U2lDXBJdBOI/AAAAAAAFf78/6HbREOmldu4/s1600/POLISI+LOGO+-+Copy.jpg)
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu 34 wakazi wa Mji mdogo wa Kibaigwa Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma kwa makosa ya kufanya fujo na kuharibu mali tukio lililotokea tarehe 05/05/2014 majira ya saa 13:30Hrs.
Kamanada wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema Vijana wanaokadiriwa kuwa zaidi ya miatatu wakishirikiana na Wabeba mizigo wa Soko Kuu la Mazao la...
11 years ago
Michuzi34 MBARONI KWA KUFANYA FUJO NA KUHARIBU MALI KIBAIGWA NA WENGINE WATATU KWA KULIMA BANGI HEKARI SITA NA NUSU MKOANI DODOMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu 34 wakazi wa Mji mdogo wa Kibaigwa Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma kwa makosa ya kufanya fujo na kuharibu mali tukio lililotokea tarehe 05/05/2014 majira ya saa 13:30Hrs. Kamanada wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP (pichani)amesema Vijana wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 300 wakishirikiana na Wabeba mizigo wa Soko Kuu la Mazao...
11 years ago
Habarileo10 Aug
Mke kortini kwa kumfanyia fujo mumewe
MKAZI wa eneo la Majengo mjini Singida, Anna Bonaventure (34) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Utemini, akikabiliwa na mashitaka ya kumfanyia fujo mumewe, Abdallah Ally (34) kwenye eneo lake la biashara.
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Uchina yalaumu Dalai Lama kwa fujo Tibet
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Kama Warioba si mkweli, kwa nini afanyiwe fujo?
KAMA anachosema Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, si kweli, kwa nini wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamfanyie fujo na kumpiga, wakati wao walipojadili...
10 years ago
Habarileo01 Jan
Muumini Moravian mbaroni kwa kufanya fujo kanisani
POLISI mkoani Morogoro linamshikilia Jackson Mnyilemi (20), ambaye ni muumini wa Kanisa la Moravian Tarafa ya Malinyi wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro kwa tuhuma za kuhusika kufanya fujo kanisani.