BANZA TUMWACHIE MUNGU!
![](http://api.ning.com:80/files/wElhaJF9fXL57zD49YRCH1*6KUi-4RKVSUNOB1D2FD-QaL1Wd5mWwSgJ93ory1Y94ofN4e7t*Rqk-Pw*nrK*lRchbjChdNqn/BACKWIKIENDA.gif?width=650)
Gladness Mallya na hamida hassan Ugua pole! Hali ya mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ ni ya kumwachia Mungu kwani bado ni tete na watu wamekuwa wakimiminika kwa ajili ya kumuona katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar alikolazwa. Mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ akiwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar alikolazwa. Ijumaa Wikienda lilitia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo05 Jun
BANZA TUNAMWACHIA MUNGU
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2739846/highRes/1027245/-/maxw/600/-/bb5xt2/-/01-Banza.jpg)
Mwanamuziki Banza Stone
Banza kweli anaumwa, amedhohofika, amepoteza ubora wake wa afya ya mawazo, mwili na utimamu kwa jumla. Familia yake inaelezea kwamba kwa sasa angalau kidogo afya yake imeimarika, lakini kwa mtu uliyekuwa unamfahamu Banza, huwezi kukubaliana nao. Ni kwa jinsi anavyoonekana na kile anachokifanya au kukujibu.
UKIMWANGALIA mwanamuziki, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kuanzia juu mpaka chini, ukijumlisha na mambo anayozungumza yeye, yanayosemwa na familia yake pamoja na hali...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Bp6VsFxYvcIhjUrbmDudW*K2JmNtKjC-sDKyUjmPs98ZuKdn791BGUW40l-egz*VEeAE9M4kNr*4NpLiTCwEZ89eesf950eG/BANZA.jpg)
MUNGU MKUBWA, BANZA ATOKA HOSPITALI
Gladness mallya
BAADA ya mwanamuziki wa Dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kulazwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar kwa siku saba, hatimaye ameruhusiwa kurejea nyumbani baada ya kupata nafuu. Mwanamuziki wa Dansi nchini, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone. Banza aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo, Jumatano iliyopita ambapo kwa mujibu wa kaka yake ana nafuu japokuwa bado hali si shwari kwani...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/BkOjhKl2Ths/default.jpg)
11 years ago
GPLMUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA
Elisha Bahunde akiwa chumba # 8 ghorofa ya 6 alipolazwa tangia siku ya Jumatano Feb 19, 2014 alipoletwa Maryland kwa matibabu zaidi
Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.…
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-JSexxhkX_nQ/Xk52UGVhgsI/AAAAAAACHyU/XvJU3MiHv0QNtD8S4Axe7rxAKq_MdmORQCLcBGAsYHQ/s72-c/HIJA%2BYA%2BCHANZO%2BHALISI.jpg)
KANISA HALISI LA MUNGU BABA LINAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE HIJA YA CHANZO HALISI CHA MUNGU BABA, MJINI KIGOMA 26 THEBETI,1(26 APRILI,2020)
![](https://1.bp.blogspot.com/-JSexxhkX_nQ/Xk52UGVhgsI/AAAAAAACHyU/XvJU3MiHv0QNtD8S4Axe7rxAKq_MdmORQCLcBGAsYHQ/s400/HIJA%2BYA%2BCHANZO%2BHALISI.jpg)
Sauti Mpya(2019) ambayo imetangaza kuwa Tanzania ni Taifa Baba ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo imetangaza kuwa Afrika ni Bara la Nuru ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya zile Sauti Saba ilisikika Kigoma-Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya ishara tatu mbinguni (Ufunuo 12:1-9) ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya Nafsi ya Moyo (Miungu tisa mitakatifu iliyofafanuliwa ndani ya Kitabu) ilisikika...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q30x5TS81-Ygl7aEdk3mp8lHi-kpXvhwNxTo69X*zxUrkZipp5XoKEi1TFGgT3bGPh7t-hkG3F*WN099PfOJYpi/BANZA.jpg?width=650)
BANZA ARUDIA MITUNGI
STAA mkubwa wa muziki wa dansi nchini, Ramadhani Masanja ‘Banza stone’ ambaye anasifika kwa ulevi wa kupindukia na hivi karibuni aliripotiwa kuacha, inadaiwa amerejea tena, safari hii kwa kiwango cha kutisha. Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’ alipokuwa akihojiwa na Global TV Online.
Chanzo makini kutoka ndani ya familia ya mwanamuziki huyo anayefanya kazi na bendi ya Extra Bongo, kimeliambia gazeti...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iAT0B9wCR3C7pNKEoenPW5V1V-jYZR9bvB815fL3GGgu-aG8fgUM8oEMQ1KuAftu4Lbh3cRnhh7KJfGadZ4xgHKKeybE7npq/banza.jpg?width=650)
BANZA AMLILIA PAPII KOCHA
LEGENDARY wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja 'Banza Stone' amefunguka kuwa anamkumbuka Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kwani alikuwa kama mdogo wake kwenye gemu. Ramadhan Masanja 'Banza Stone'. Akizungumza na Global TV Online ambayo itarusha mahojiano yake leo, Banza alisema alikuwa akimtazama Papii kama chimbuko la dansi ambalo litaleta mapinduzi hivyo kufungwa kwake kumempotezea ndoto zake.… ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kZzo8PgK6nfaz2aP07HBfDoVPNlkwpp4QBS53F5-2q*9SwyrFuznW6cqtTkqdmF69KtzuMdD9f*jD*OcSb5DGsT3kX8iQjkN/Banza666666.gif?width=650)
BANZA: MNANIUA SANA JAMANI
Gladness Mallya
BAADA ya uvumi kuzagaa mtaani kwamba mwanamuziki wa dansi, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia, Banza amesema amechoshwa na watu kumuua sana.Baada ya uvumi huo, ndugu zake wamesema watu waache kumuua kwa maneno kwani bado yupo hai.. .....Soma zaidi hapa===>http://bit.ly/1NeHOJE
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/GWkEmfliqss/default.jpg)
BANZA STONE AMEFARIKI DUNIA
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/11252759_1270562932958122_6544080775110454403_n.jpg)
Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama ‘Banza stone’ amefariki dunia nyumbani kwao hivi punde baada ya kuugua kwa muda mrefu.R.I.P Banza Stone
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania