Askofu Tutu arejeshwa hospitali
Askofu Desmond Tutu na mshindi wa nishani ya Nobel amerejeshwa tena Hospitali kwa matibabu zaidi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili11 Dec
9 years ago
BBCSwahili04 Sep
Askofu Tutu hatimaye arejea nyumbani
11 years ago
BBCSwahili17 Dec
Askofu Desmond Tutu akemea ANC
10 years ago
BBCSwahili21 Jul
Askofu Desmond Tutu apata afueni
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Askofu Desmond Tutu ana tezi dume
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-*rcMYSmUcXsURABBLfZb-QGcR5KKTlXi2dm1iJJPr42acn7pbXbCC5KBLNDZTkyayNDT8S6F8tKbCpt-biQ57SN9v56ozah/desmondtutu.jpg?width=650)
ASKOFU DESMOND TUTU ANASUMBULIWA NA TEZI DUME
11 years ago
Habarileo11 Dec
Askofu Tutu- Muwe na nidhamu kumuenzi Mandela
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Anglikana, Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Desmond Tutu, akifunga shughuli za kumuaga Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini jana, aliwaonya wananchi wa taifa hilo, kuapa kwa Mungu kwamba watafuata nidhamu aliyokuwa nayo Mandela.
9 years ago
Bongo504 Jan
Binti wa Askofu Desmond Tutu afunga ndoa na mwanamke mwenzake
![Mpho+Tutu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/MphoTutu-300x194.jpg)
Canon Mpho Tutu‚ mtoto wa Askofu Desmond Tutu wa Afrika Kusini amefunga ndoa na mwanamke mwenzake, Professor Marceline Furth kwenye sherehe ndogo iliyofanyika Alhamis iliyopita nchini Uholanzi.
Canon Tutu ni Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Desmond & Leah Tutu Legacy Foundation. Professor van Furth ni mhadhiri wa Paediatric Infectious Diseases kwenye chuo kikuu cha Vrije cha jijini Amsterdam.
Hiyo ndio ya pili kwa wote wawili. Ndoa yao itasherehekewa mjini ted in Cape Town May 2016.
Jiunge...
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Askofu Tutu: Viongozi wa dunia hatuna budi kumuenzi Mandela