Askofu Tutu: Viongozi wa dunia hatuna budi kumuenzi Mandela
Mshindi wa Nishani ya Amani ya Nobel, Askofu Desmond Tutu amesema ana imani kwamba viongozi wanaotaka umashuhuri duniani watafuata mfano wa Nelson Mandela.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo11 Dec
Askofu Tutu- Muwe na nidhamu kumuenzi Mandela
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Anglikana, Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Desmond Tutu, akifunga shughuli za kumuaga Rais wa Kwanza wa Afrika Kusini jana, aliwaonya wananchi wa taifa hilo, kuapa kwa Mungu kwamba watafuata nidhamu aliyokuwa nayo Mandela.
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Kenyatta:'Ni aibu lakini hatuna budi'
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amekiri ni jambo la aibu kuwa serikali imelazimika kutoa chakula cha msaada kwa maelfu wanaokumwba na njaa nchini humo
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Kama tutauenzi Muungano hatuna budi kusema kweli kuulinda
Katiba inayopendekezwa kwa mujibu wa maelekezo na matakwa ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Sura ya 83 imekwisha kabidhiwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Kikwete pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) Dk. Ali Mohamed Shein.
11 years ago
BBCSwahili11 Dec
10 years ago
BBCSwahili29 Jul
Askofu Tutu arejeshwa hospitali
Askofu Desmond Tutu na mshindi wa nishani ya Nobel amerejeshwa tena Hospitali kwa matibabu zaidi.
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/71787000/jpg/_71787946_71786704.jpg)
Tutu criticises Mandela services
Archbishop Desmond Tutu says Nelson Mandela would have been appalled by the exclusion of Afrikaners from his memorial services and also criticises the prominence of the ANC.
11 years ago
Mwananchi25 Dec
TZ inapomsamehe Museveni kumuenzi Mandela
Suala la kusamehe na kusahau kama njia ya kumuenzi aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, marehemu Nelson Mandela limeanza kutumika katika kuamua mambo mbalimbali, likiwano suala la mgogoro baina ya viongozi wa nchi za Afrika Mashariki.
11 years ago
BBCSwahili17 Dec
Askofu Desmond Tutu akemea ANC
Askofu mkuu nchini Afrika Kusini Desmond Tutu, amesema kuwa Nelson Mandela angechukizwa sana na ANC kukosa kuwajumuisha watu wa jamii ya Afrikaans kwenye ibada za mazishi yake.
9 years ago
BBCSwahili04 Sep
Askofu Tutu hatimaye arejea nyumbani
Askofu Desmond Tutu ameruhusiwa kurejea nyumbani kutoka hospitalini ambako amekuwa akipokea matibabu kwa zaidi ya wiki mbili
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania