Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahukumiwa kwa kushindwa kupeleka watoto wao shule

WAZAZI 19 wa wanafunzi walioshindwa kuripoti kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo wa 2014/2015 wamehukumiwa kifungo cha nje cha miezi mitatu kila mmoja kutokana na kosa la kushindwa kuwapeleka watoto wao shuleni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wazazi, walezi waagizwa kupeleka watoto shule

 

Serikali imewaagiza wazazi na walezi mkoani Tabora kuwapeleka shule watoto wote wenye umri wa kwenda shule kwa kuwa hakuna pingamizi lolote baada ya Serikali kubeba jukumu la kulipia ada na michango mingine kuanzia elimu ya msingi hadi sekondari.

Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kapunze Kata ya Ikomwa Manispaa ya Tabora, Mkuu wa mkoa huo Ludovick Mwananzila amesema Serikali imezitambua kaya masikini na kuzipatia ruzuku inayowezesha kuwahudumia watoto wao na kuongeza mahudhurio...

 

11 years ago

Habarileo

Mkapa ahimiza wafugaji kupeleka watoto shule

RAIS mstaafu Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka jamii ya wafugaji wa Kimasai wilayani Monduli mkoani Arusha kuhakikisha inapeleka watoto wao.

 

10 years ago

GPL

WANAJESHI 54 WA NIGERIA WAHUKUMIWA VIFO KWA KUSHINDWA KUPAMBANA NA BOKO HARAM

Wanajeshi hao wakiwa mbele ya Mahakama ya Kijeshi jijini Abuja nchini Nigeria. Mahakama ya Kijeshi nchini Nigeria imewahukumu adhabu ya vifo wanajeshi wake 54 waliokataa kupambana na wapiganaji wa Kundi la Boko Haram. Wanajeshi hao walikutwa na hatia ya uasi, kushambulia na uoga. Wanajeshi hao wanashutumiwa kukataa kupigana kurudisha miji mitatu iliyokuwa ikishikiliwa na Boko Haram mwezi Agosti. Mwanasheria wa wanajeshi hao...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Hadija Mwinuka ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum wawapeleke shule badala ya kukaa nao nyumbani na kuwafungia

Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya

Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume  wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...

 

10 years ago

Habarileo

Wasiopeleka watoto wao shule kusakwa

WANAFUNZI 725 kati ya 1,409 waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka huu, wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, hawajaripoti katika shule walizopangiwa ambapo hadi sasa walioripoti 684 tu.

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAASWA KUWAPELEKA WATOTO WAO KATIKA SHULE YA SEKONDARI IMPERIAL ILIYOPO CHALIZE MSOLWA MKOANI PWANI

Wanafunzi wa kidato cha kwanza wa Shule ya Sekondari ya Imperial wakielekea kupandisha bendera ya Taifa wakati wakisherekea mwaka mmoja wa shule hiyo iliyopo Chalinze Msolwa mkoani Pwani.Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Imperial wakiwa  ndani ya darasa la Komputa.wanafunzai wa shule ya Sekondari Imperial wakifanya majaribio ya masomo ya Sayansi ambayo ni Fizikia pamoja na Kemia katika chumba hicho cha majaribio ya masomo hayo shuleni hapo leo.Mkuu wa Shule na Mkurugenzi Mtendaji wa shule...

 

9 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WAASWA KUWAPELEKA WATOTO WAO KATIKA SHULE YA SEKONDARI IMPERIAL ILIYOPO CHALINZE MSOLWA, MKOANI PWANI

Wanafunzi wa kidato cha kwanza wa Shule ya Sekondari ya Imperial wakielekea kupandisha bendera ya Taifa wakati wakisherekea mwaka mmoja wa shule hiyo iliyopo Chalinze Msolwa mkoani Pwani.Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Imperial wakiwa  ndani ya darasa la Komputa
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Imperial wakijibu maswali ya kuhusiana na komputa katika darasa hilo.Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Imperial, Ivonne Mnyitafu akitoa ufafanuzi kwa wazazi pamoja na walimu wa shule hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

Wazazi Shule ya Sekondari St. Anne Marie waomba watoto wao waruhiswe kufanya mtihani wa Mock kidato cha Sita

Kiongozi wa wazazi na walezi wa wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie Adel Alex (katikati) akielezea kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mgogoro huo unaoendelea, kushoto ni Patricia Richard ambaye ni mlezi na kulia ni Dunstan Masingisa ambaye ni mzazi. Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita waliosimamishwa masomo katika shule ya St. Anne Marie kufuatia vurugu zilizosababishwa na mwanafunzi mwenzao kupigwa shoka na mlinzi wa...

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI TAMU YA BAHATI BUKUKU; AKOSA KUANDIKISHWA SHULE KWA KUSHINDWA KUSHIKA SIKIO

KATIKA mfululizo wa simulizi tamu na kweli za maisha ya mastaa Bongo, leo ndani ya nyumba tunaye mwimba Injili mwenye jina kubwa, Bahati Bukuku ambaye anashuka na usichokijua katika maisha yake. Ungana naye… Mwimbaji wa Injili mwenye jina kubwa Bongo, Bahati Bukuku. MWAKA 1988, RUNGWE, MBEYA
“Lusako amka...Lusako amka, niliisikia sauti ya baba yangu, mzee John Bukuku akiniamsha asubuhi sana tofauti na siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani