Akirejea bungeni wabakaji watoto kukiona
MGOMBEA ubunge wa Same Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, amesema iwapo atapata ridhaa tena ya kuwa mbunge wa jimbo hilo, atapambana na baadhi ya watu wanaoendekeza vitendo vya ubakaji kwa watoto.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Wanaowadhalilisha Watoto kukiona UK
9 years ago
Habarileo30 Nov
Watakaoshindwa kupeleka watoto shuleni kukiona
SERIKALI imeonya kuwa itawachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi watakaoshindwa kuwapeleka watoto shule na kusisitiza kila mtoto anapaswa kupewa haki ya kupata elimu itakayoanza kutolewa bure kuanzia Januari.
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
Timu ya Watoto wa Mitaani (TSC) watinga Bungeni mjini Dodoma
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Habib Mnyaa akitoa ufafanuzi leo kuhusu maoni ya taarifa ya Kamati Namba Moja ya Bunge la Maalum la Katiba.
Mwenyekiti wa Kamati Namba Kumi na Moja ya Bunge Maalum la Katiba, Anna Kilango Malecela akiwasilisha leo taarifa ya Kamati yake kuhusu Sura ya kwanza na sura ya sita ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Timu ya Watoto wa Mitaani (TSC) ikiwa katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma mara baada ya timu hiyo na...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zjwYxZ2D5Ek/VWNDSRxWpuI/AAAAAAAHZv8/yhbtZ2Ai2is/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-05-25%2Bat%2B6.42.43%2BPM.png)
HOTUBA YA WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO BUNGENI MJINI DODOMA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-zjwYxZ2D5Ek/VWNDSRxWpuI/AAAAAAAHZv8/yhbtZ2Ai2is/s640/Screen%2BShot%2B2015-05-25%2Bat%2B6.42.43%2BPM.png)
10 years ago
Habarileo12 Dec
‘Toeni ushahidi wa wabakaji mahakamani’
MRATIBU wa mtandao wa kupambana na vitendo vya udhalilishaji kijinsia Jeshi la Polisi Makao Makuu, Hasina Ramadhan Toufik ameitaka jamii kutoa ushahidi mahakamani kwa watu wanaotuhumiwa kubaka ili kukomesha matukio hayo.
9 years ago
Mwananchi11 Nov
Wabakaji wapewe adhabu kali
11 years ago
BBCSwahili16 Jul
Maisha jela kwa wabakaji Misri