Wabakaji wapewe adhabu kali
Suala la kuwabaka wanafunzi haliko tu Kenya bali pia Tanzania na nchi nyingi za Afrika. Tunayo mifano mingi ya watu wazima wenye uwezo wa kifedha na pia wenye madaraka makubwa ya kiofisi wanaowarubuni wanafunzi kwa kuwapa pesa kidogo au vitu vidogo vidogo ili wafanye nao ngono. Hivi karibuni wanafunzi wa sekondari nchini Siera Leone, nchi iliyokumbwa na ugonjwa wa ebola, walikubwa na dhahama hii wakati wakiwa nyumbani baada ya shule kufungwa kwa kipindi kirefu. Wasichana hawa...
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Polisi wabakaji waongezwa adhabu Tunisia
11 years ago
BBCSwahili16 Oct
''Pistrorius anastahili adhabu kali''
11 years ago
BBCSwahili28 Jun
Tabarez kujiuzulu kufuatia adhabu kali
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Rousseff: Adhabu kali zitawakabili mafisadi
11 years ago
BBCSwahili28 Jan
Adhabu kali kwa Mchina Kenya
11 years ago
Mwananchi26 May
Baba amuua mwanaye kwa adhabu kali
10 years ago
Mwananchi22 Apr
TPL yaahidi adhabu kali vurugu viwanjani
10 years ago
Mzalendo Zanzibar21 Oct
Adhabu kali kwa watakaovunja amani na utulivu
Nimekawia hata hivyo sijachelewa, licha ya mapungufu ya technology yamesababisha haya. Tunakaribia kufika ukingoni mwa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015. Alhamdullillah, hadi muda huu hakujawa na matokeo ya kutisha yanayohatarisha amani na usalama wa watu. Tukiwa […]
The post Adhabu kali kwa watakaovunja amani na utulivu appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Adhabu kali kwa kuwa na watoto 3 China