TPL yaahidi adhabu kali vurugu viwanjani
>Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), imelaani tukio la vurugu lililofanywa na mashabiki wa klabu ya Simba wakati wa mchezo wa timu hiyo dhidi ya Kagera Sugar.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Wabuni mbinu kuepuka Vurugu viwanjani
Klabu ya Rucife Brazil yabuni mbinu ya kukabiliana na Vijana wanaoleta vurugu michezoni
10 years ago
Mwananchi19 Jan
TFF, Polisi wadhibiti vurugu viwanjani
Siku zote Watanzania tunafahamu kuwa soka ni mchezo unaopendwa na mashabiki wengi siyo katika ardhi yetu pekee bali kote ulimwenguni.
11 years ago
BBCSwahili16 Oct
''Pistrorius anastahili adhabu kali''
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius,''anapaswa kupewa adhabu ya kutosha kwa kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp'', binamuye marehemu Reeva ameambia mahakama
9 years ago
Mwananchi11 Nov
Wabakaji wapewe adhabu kali
Suala la kuwabaka wanafunzi haliko tu Kenya bali pia Tanzania na nchi nyingi za Afrika. Tunayo mifano mingi ya watu wazima wenye uwezo wa kifedha na pia wenye madaraka makubwa ya kiofisi wanaowarubuni wanafunzi kwa kuwapa pesa kidogo au vitu vidogo vidogo ili wafanye nao ngono. Hivi karibuni wanafunzi wa sekondari nchini Siera Leone, nchi iliyokumbwa na ugonjwa wa ebola, walikubwa na dhahama hii wakati wakiwa nyumbani baada ya shule kufungwa kwa kipindi kirefu. Wasichana hawa...
11 years ago
BBCSwahili28 Jan
Adhabu kali kwa Mchina Kenya
Mahakama nchini Kenya imemtoza faini ya dola 230,000 raia mmoja mchina kwa kuhusika na biashara haramu ya pembe za ndovu.
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Rousseff: Adhabu kali zitawakabili mafisadi
Utawala wa Lula na Dilma Rousseff umeiacha Brazil katika dimbwi la umaskini
Brazil, nchi kubwa kabisa kieneo na kwa idadi ya wakazi barani Amerika Kusini, inashikilia nambari ya tano duniani kwa ukubwa kijiografia.
11 years ago
BBCSwahili28 Jun
Tabarez kujiuzulu kufuatia adhabu kali
Oscar Tabarez atajiuzulu wadhfa wake katika kamati za FIFA kupinga adhabu kali dhidi ya Suarez
11 years ago
Mwananchi26 May
Baba amuua mwanaye kwa adhabu kali
Simanzi, vilio na majonzi vilitawala Kijiji cha Misiri, Kata ya Bugarama, wilayani Geita, kutokana na tukio la kifo cha mtoto, John Wiliam (4) aliyefariki baada ya kupewa adhabu na baba yake mzazi.
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Adhabu kali kwa kuwa na watoto 3 China
Serikali ya China imemtoza faini ya zaidi ya dola milioni moja mtengeza filamu mashuhuri nchini humo, Zhang Yimou kwa kwenda kinyume na sera ya mtoto mmoja
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania