Adhabu kali kwa watakaovunja amani na utulivu
Nimekawia hata hivyo sijachelewa, licha ya mapungufu ya technology yamesababisha haya. Tunakaribia kufika ukingoni mwa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015. Alhamdullillah, hadi muda huu hakujawa na matokeo ya kutisha yanayohatarisha amani na usalama wa watu. Tukiwa […]
The post Adhabu kali kwa watakaovunja amani na utulivu appeared first on Mzalendo.net.
Mzalendo Zanzibar
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili28 Jan
Adhabu kali kwa Mchina Kenya
11 years ago
Mwananchi26 May
Baba amuua mwanaye kwa adhabu kali
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Adhabu kali kwa kuwa na watoto 3 China
10 years ago
Vijimambo![](https://lh6.googleusercontent.com/-i-ePievu93c/VD0hVHVgCNI/AAAAAAAAE2Q/CxYenqcaxQU/s72-c/IMG-20141014-WA0000.jpg%20cursor:%20pointer;)
ANGALIA PICHA MWANAJESHI ATOA ADHABU KALI KWA RAIA ALIYEVAA NGUO ZA JESHI
![](https://lh6.googleusercontent.com/-i-ePievu93c/VD0hVHVgCNI/AAAAAAAAE2Q/CxYenqcaxQU/IMG-20141014-WA0000.jpg%20cursor:%20pointer;)
Raia huyo alikutana na adhabu kali za mwanajeshi huyo baada ya kukutwa amevaa mavazi halisi ya jeshi la Tanzania maeneo ya Kariakoo Dar es Salaam.Jamaa huyo alipokamatwa na kushindwa kutoa maelezo ya kuridhishaakaamriwa kuvua mavazi hayo na kisha kuaza kutumikia mazoezi ya hatari ..Haya mavazi raia wanayapenda ila kwenda kutumikia jeshi hawataki ...ahahaaa jamaa alichokipata hawezi kutamani...
9 years ago
Habarileo03 Nov
Mitihani yaanza kwa amani na utulivu
MTIHANI wa kidato cha nne ulioanza jana nchini kote umeanza kwa hali ya utulivu na amani katika shule mbalimbali za jiji la Dar es Salaam.
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Wasira asifu amani na utulivu kwa Watanzania
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, amesema Watanzania wamebarikiwa amani, umoja na utulivu ndiyo maana kila jambo wanalolifanya linafanikiwa bila matatizo. Wassira alisema miongoni mwa...
9 years ago
Habarileo25 Oct
Upigaji kura waendelea kwa amani na utulivu
WATANZANIA leo waliamka mapema na kuwahi katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wao watakaoliongoza taifa lao katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Misururu mirefu imeonekana katika maeneo mengi ya nchi hususani katika jiji la Dar es Salaam, hali inayoonesha kuwa watu wajejawa na hamasa kubwa ya kuchagua kiongozi wao kama walivyokuwa wakijitokeza katika mikutano ya kampeni.
Watu wengi wamejitokeza katika vituo mapema kabisa leo alfajiri ambapo vituo vilifunguliwa...
10 years ago
Dewji Blog03 Sep
Mhe. Sitta apewa pongezi kwa kuliendesha Bunge Maalum la Katiba kwa utulivu na amani
Sheikh Hemed Jalala akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (hayupo pichani) wakati alipotembelea Bunge Maalum leo 03 Septemba, 2014 kwa ajili ya kumpongeza kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya.
Na Magreth Kinabo, Dodoma.
BAADHI ya viongozi wa dini wamempongeza Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kwa kitendo chake cha kuliendesha Bunge hilo vizuri katika hali ya utulivu na amani.
Kauli hiyo imetolewa leo na Sheikh Hemed Jalala kutoka Msikiti wa Ghadiir...
9 years ago
StarTV07 Oct
Magufuli asisitiza amani na utulivu kwa mkoa wa Arusha
Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Magufuli ameonya kuwa kuendelea kwa vitendo vya vurugu mkoani Arusha huenda kukaharibu sifa ya mkoa huo ambao unaheshimika kitaifa na kimataifa.
Dokta Magufuli amesema heshima ya Mji huo imeifanya Tanzania kujulikana zaidi duniani kuwa nchi yenye amani na utulivu ingawa sasa vitendo vya vurugu mkoani humo vinahofiwa kuipoteza sifa hiyo.
Mbio za kuusaka urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM zimemfikisha Dokta John Magufuli katika...