Magufuli asisitiza amani na utulivu kwa mkoa wa Arusha
Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Magufuli ameonya kuwa kuendelea kwa vitendo vya vurugu mkoani Arusha huenda kukaharibu sifa ya mkoa huo ambao unaheshimika kitaifa na kimataifa.
Dokta Magufuli amesema heshima ya Mji huo imeifanya Tanzania kujulikana zaidi duniani kuwa nchi yenye amani na utulivu ingawa sasa vitendo vya vurugu mkoani humo vinahofiwa kuipoteza sifa hiyo.
Mbio za kuusaka urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM zimemfikisha Dokta John Magufuli katika...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Dec
Asisitiza amani na utulivu kwenye uchaguzi
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Shija Othmani amewahimiza wafuasi wa vyama mbalimbali na wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu kwenye kipindi hiki cha kumalizia kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na siku ya uchaguzi ili kufanikisha kazi hiyo.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/mwPfXYEEryE/default.jpg)
9 years ago
MichuziTIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR WAENDELEA KUJIFUA KUJIANDAA KUWAKABILI WENZAO WA MKOA WA ARUSHA
Mbali na mchezo huo pia timu hizo zinatarajia kufanya shughuli za Kijamii, ikiwa ni pamoja na kutembelea wagonjwa na Vituo vya Albino kwa lengo la kudumisha Amani na Mshikamano...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pt9nsq0us3I/XsisLu6bYuI/AAAAAAAEHTM/iwG2Gn0qp5UwwfPRG-PZQ0Om5r0d92ChwCLcBGAsYHQ/s72-c/SHANA-NA-LEMA.jpg)
JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LATOA ONYO KWA WAVURUGA AMANI PAMOJA NA MADEREVA WALEVI NA WASIOZINGATIA SHERIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-pt9nsq0us3I/XsisLu6bYuI/AAAAAAAEHTM/iwG2Gn0qp5UwwfPRG-PZQ0Om5r0d92ChwCLcBGAsYHQ/s320/SHANA-NA-LEMA.jpg)
Jeshi la polisi mkoani Arusha limetoa onyo kwa watu wachache wanaopenda kuvuruga amani katika kipindi cha sikukuu na kuwataka waache mara moja kuwa na fikra hizo kwani watachukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza Kamanda wa polisi mkoani hapa Jonathan Shana amesema kuwa kwa upande wa madereva wa vyombo vya usafiri ni marufuku kuendesha vyombo hivyo wakiwa wamelewa ,mwendokasi pamoja na kujaza abiria kupita kiasi kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yaoAidha...
9 years ago
VijimamboMKUU WA MKOA WA DODOMA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUSISITIZA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25
9 years ago
Habarileo03 Nov
Mitihani yaanza kwa amani na utulivu
MTIHANI wa kidato cha nne ulioanza jana nchini kote umeanza kwa hali ya utulivu na amani katika shule mbalimbali za jiji la Dar es Salaam.
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Wasira asifu amani na utulivu kwa Watanzania
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, amesema Watanzania wamebarikiwa amani, umoja na utulivu ndiyo maana kila jambo wanalolifanya linafanikiwa bila matatizo. Wassira alisema miongoni mwa...
9 years ago
Habarileo25 Oct
Upigaji kura waendelea kwa amani na utulivu
WATANZANIA leo waliamka mapema na kuwahi katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wao watakaoliongoza taifa lao katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Misururu mirefu imeonekana katika maeneo mengi ya nchi hususani katika jiji la Dar es Salaam, hali inayoonesha kuwa watu wajejawa na hamasa kubwa ya kuchagua kiongozi wao kama walivyokuwa wakijitokeza katika mikutano ya kampeni.
Watu wengi wamejitokeza katika vituo mapema kabisa leo alfajiri ambapo vituo vilifunguliwa...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar21 Oct
Adhabu kali kwa watakaovunja amani na utulivu
Nimekawia hata hivyo sijachelewa, licha ya mapungufu ya technology yamesababisha haya. Tunakaribia kufika ukingoni mwa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015. Alhamdullillah, hadi muda huu hakujawa na matokeo ya kutisha yanayohatarisha amani na usalama wa watu. Tukiwa […]
The post Adhabu kali kwa watakaovunja amani na utulivu appeared first on Mzalendo.net.